Owwwkey so I feel like bragging a bit 'cause I got me a real cool gadget today.
Recently niliharibikiwa na simu pamoja na laptop yangu nikabaki kapa.Katika harakati za kutafuta simu na laptop...
Naomba kujuzwa juu ya hii programme lakini nataka inayo-operate katika Window not mac
Naomba pia ufafanuzi.
Ukitazama studio nyingi za TV wakati wa news hasa Channel ten,Star tv na TBC wasomaji...
Wanajukwaa, salaam!!!
Ni mwezi mmoja sasa tangu ninunue simu aina ya NOKIA E5-00 (brand new). Kwa bahati mbaya, kitabu cha maelekezo nilikipoteza.
Tangu kununua simu hii nimekuwa nikijaribu...
naomba msaada mana sm yangu kwa sasa inagoma kufungua opera min ya 5.1.nimejalibu kudonwload nyingine ya 6.5 imekubali tatizo inagoma kudonwload.naomba msada
Wadau hebu chungulieni hii website, mbona mie naona kama inauza iphones na ipads2 kwa bei rahisi sana! Ni wizi au bei zimeshuka?
Discounts on Mobile - Buy it Now - Wall | Facebook
Kwa kutambua kuwa JF ni google ya kila kitu kutokana na kukusanya Great Thinkers wa kila namna naomba msaada wa mwenye soft copy ya biblia ya kiebrania. Au japo link ya website yenye biblia ya...
Jamani wanajamii naomba kujuzwa kuhusiana na betri kwenye Desk top computers,kwa sababu computer yangu aina ya DELL ninapotaka kuiwasha siku hizi, kwanza inanialert kwamba " computer batri is...
Mobile and compact, the laptop has many advantages if you want to use a computer whenever and wherever it suits you. It also has disadvantages if you do not take care of it properly. Protecting a...
Wadau naomba kujuzwa vp kuna laptop hapa amekuja nayo ndugu yangu betri haifanyi kazi mpaka kutumia power cable(charger) hivi kuna uwezekano wakuirekebisha hii betri ikafanya kazi? Na je kwamfano...
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza juu ya jambo hili kwamba endapo itatokea siku imeibuka kampuni nyingine inataka kusambaza umeme itakuaje juu ya haya yafuatayo:
Unafkiri ni njia gani itatumika...
External Hard Disk yangu ilidondoka kutoka usawa wa kitanda mpaka sakafuni, na sasa haifunguki na wala haisomi kwenye computer yoyote ile. Rafiki yangu kanipa mwanga tu kuwa huenda motor yake...
Hellow Jf!!
Kuna njia nying za ku HACK facebook accounts zipo hapa How to hack facebook password | Learn How To Hack - Ethical Hacking and security tips Nimefanya nimefanikiwa, Victim wa kwanza...
Wazee jana nilikua naangalia movie ya jean c. Vandamme akiwa kaka yake alex.kuna scene moja vandamme yupo ndani ya meli anachochea mkaa wa moto katika injini ya meli.mie pia nikakumbuka kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.