Hshima mbele wanajamii..
Naomba kama kuna mtu anafaham program yeyote naweza kutumia ku download movies au TV series na Muziki aniandikie hapa
niitafute.. ni zile za free ndo natafuta. Zamani...
Heri ya mwaka mpya wadau. Nina server dell poweredge 1600sc, ina hhd tatu na zote ziko patitioned, issue yangu kuwa hapa ni jins i gani naweza kuongeza size ya patition ambayo ndiyo ina OS maana...
Follow this link to download the LATEST version with bug fixes: Mozilla Firefox Web Browser
Why upgrade your browser?
The Browser
A browser is a piece of software designed to view...
Guyz' nimeflash simu yangu nokia 6270 kabla sijaflash ilikuwa inaplay video (stream) na ilikuwa ina2mia applications za internet kama operamini. Uc browser, bolt n.k ila sasa inagoma' NAOMBA...
habari zenu. naomba mnisaidie maana kwa mara kadhaa pc yangu yenye os ya win xp inaniambia low disk space kwenye drive partion yenye windows files yenye ukubwa wa 48gb...inanishangaza maana...
natafuta external dvd rom hata isiwe writable ya samsung,asus,toshiba etc itakayo tumika kwenye laptop dell insp 6000 baada ya ile original kuharibika,nitafurahi kama wadau mtanijuza wapi nitapata...
Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA iliyotoewa hivi karibuni, kati ya Watanzania milioni 42, watu milioni 5 tuu ndio watumiaji wa internet. Ripoti inaonyesha kuwa mwaka 2005, watu milioni 1.6 walikuwa...
Zantel wametoa simu wanaziuza ila ni za laini moja tu, ya kwao. Mwenye ujuzi na software ya kuzichakachua zitumie laini zote au anayejua hua nini kinafanyika tupeane maujuzi. Aina ya simu ni ZTE
Msaada wenu ni muhimu sana katika hili.
Nimenunua simu aina ya NOKIA E5. Nimejiunga na huduma za internet ili dunia iwe ktk kiganja changu. Cha ajabu ni kuwa kila nikitaka ku-surf ina-appear...
It is shameful for such a lucrative ministry to fail in maintaining the website. When you want to visit it Account Suspended
Anyhow that is the way it is.
wapendwa wa jukwaa hili nawatakia HERI YA MWAKA MPYA.
Kuna kitu nataka kudowmload ktk laptop yangu lakini naambiwa hadi niwe na windows 7,vista,or xpl.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,mim sina...
Wakuu naomba kujuzwa ni mambo yapi yanahitajika katika comp(laptop) na ni simu yenye vigezo gani inahitajika ili niweze kukonect internet ya simu katika comp na je hiyo operation baada ya kukonect...
Wireless internet ya chuo iko limited, baadhi ya site kama YouTube na nyingine za streaming video kama Al Jazeera, MSNBC n.k hazifunguki. Nimejaribu kutumia unblocker za kupaste web zinakataa!
Jamani mwenye registration keys za Microsoft office 2007 home and student version, tafadhari anisaidie maana nimekwama na ninahitaji kuendelea na kazi, natanguliza shukrani kwenu na Mungu...