msaada please?????

msaada please?????

emike

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
345
Reaction score
109
natafuta external dvd rom hata isiwe writable ya samsung,asus,toshiba etc itakayo tumika kwenye laptop dell insp 6000 baada ya ile original kuharibika,nitafurahi kama wadau mtanijuza wapi nitapata na bei yake
 
nenda posta mpya barabara ya samora kama unatokea kwenye sanamu askari kuna duka la computronix ulizia hapo..(kama upo dar lakini)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom