Msaada wenu ni muhimu sana katika hili.
Nimenunua simu aina ya NOKIA E5. Nimejiunga na huduma za internet ili dunia iwe ktk kiganja changu. Cha ajabu ni kuwa kila nikitaka ku-surf ina-appear meseji isomekayo Insufficient memory. Nilipoichunguza nimegundua phone memory yake ni 364kb, na mpaka sasa ninapoandika post hii sijatumia hata kb moja. nimeweka memory card ya 4GB nikadhani labda itanisaidia, lakini hali ni ile ile.
Je, kuna uwezekano wa kuongeza capacity ya phone memory kutoka hiyo 364 kb na hata kufikia megabytes kadhaa, let say 12mb? Au kama kuna software yoyote, itakayoweza kui-activate simu yangu naomba nijulishwe.
KIKUBWA NI KUNIWEZESHA KUPATA MAWASILIANO NA HUDUMA ZA INTERNET.