G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wakuu naomba kujuzwa ni mambo yapi yanahitajika katika comp(laptop) na ni simu yenye vigezo gani inahitajika ili niweze kukonect internet ya simu katika comp na je hiyo operation baada ya kukonect ni kama modem au tofaut naomba msaada wa maelezo hayo! Nawasilisha!