Msaada: Wireless internet ya chuoni imekuwa limited

Msaada: Wireless internet ya chuoni imekuwa limited

Chamalama

Senior Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
131
Reaction score
44
Wireless internet ya chuo iko limited, baadhi ya site kama YouTube na nyingine za streaming video kama Al Jazeera, MSNBC n.k hazifunguki. Nimejaribu kutumia unblocker za kupaste web zinakataa!
 
kama zimefungwa na administrator unafikiri ww utaweza kuzifungua?
 
Video kwa jumla zinahitaji bandwidth kubwa ndo maana inakuwa blocked kuruhusu matumizi ya kawaida yaende vizuri.
 
pole sana mkuu wamefanya makusudi ili msome,vip ya fesibuku wamewaachia mana ndo zenu madenti
 
Usihangaike sana... achana na watu wachoyo!! nunua modem yako...ni full kudownload!! ha ha h ah.... video streaming ndo kitu kimekupeleka chuo? ndo maana mnatoka huko hamjui chochote halafu mnaanza kulalamika Wakenya na Warwanda wanachukua kazi Tz.....
 
Back
Top Bottom