Msaada: kuchakachua simu za Zantel ZTE

Msaada: kuchakachua simu za Zantel ZTE

komredi ngosha

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
382
Reaction score
71
Zantel wametoa simu wanaziuza ila ni za laini moja tu, ya kwao. Mwenye ujuzi na software ya kuzichakachua zitumie laini zote au anayejua hua nini kinafanyika tupeane maujuzi. Aina ya simu ni ZTE
 
Back
Top Bottom