Kwanza kabisa unatakiwa uinstall Bittorrent software(mfano
Vuze, Bittorrent, Limewire etc), mimi napenda kutumia
Vuze.
Kama vp unaweza kuzinyonya movies na TV kwa(episodes) kwa kuzidowload bure hapa
Torrent Search Engine unachotakiwa kufanya ni kuandika jina la movie unayoitaka hapa na kuclick tu hapo kwenye search(mfano unataka
Valley of the wolves Palestine) ukishaandika na kuclick search itakupeleka
hapa Kurtlar Vadisi Filistin 2011 DVDRip XviD SMV Torrent Download click mojawapo kati ya hizo(mfano thepratebay) then itakupeleka hapa
Kurtlar Vadisi: Filistin (Valley of the Wolves: Palestine) 2011 (download torrent) - TPB baada ya hapa unatakiwa uclick
Download this torrent ama
Download Torrent,
ikimaliza kudownload fungua folder(open folder) then double click hiyo file(Vuze file) uliyodownload,ukisha double click hapo hiyo torrent itaenda moja kwa moja kwenye Bittorrent software(Mfano
Vuze, Bitlord, Limewire) ambayo ni maalum kwa ajili ya kudownload torrents za aina yoyote ile(Miziki,movies,images n.k)
na kuanza kupakuliwa....
Unaweza kuipata/kuidownload Vuze hapa
Vuze: The most powerful bittorrent app on earth. Ila kabla haujainstall
Vuze inatakiwa kwanza uinstall
JRE(Java Runtime Envvironment) ambayo utaipata hapa
Download Java Runtime Environment 1.7.0.2 (32-bit) - FileHippo.com (upande wa kulia juu kuna sehemu imeandikwa ‘Download Latest Version', click hapo)
Hope this will help.
Bala.