naombeni msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by cheusimangala, Jan 3, 2012.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wapendwa wa jukwaa hili nawatakia HERI YA MWAKA MPYA.

  Kuna kitu nataka kudowmload ktk laptop yangu lakini naambiwa hadi niwe na windows 7,vista,or xpl.
  Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,mim sina utaalamu sana na haya mambo,hivyo hata sijui kama laptop yangu inayo au haina,na kama haina nifanyaje niwe na mojawapo ya kati ya windows 7,vista or xpl.
  Atakae nicheka kwa ushamba wangu mwaka atauanza kwa Nuksi,,,,natania.

  Natanguliza shukrani kwa atakayejitolea kunisaidia.
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Cheusi mangala Heri ya 2012

  kitu gani hicho unadowload?

  Unaweza kudownload(Kupakua) kitu chochote kwa OS yeyote(XP. VIsta, Windows 7. MAc , Ubuntu, etc ). Kwa hiyo kama kweli ni kudowlaod hautakiwi kupata kikwazo.

  Kwa hiyo weka maelezo yao sawa unataka kudowload au unataka kuinstall (Kusimika) Sofware kwenye computer yako.

  waambie wataalam

  • unachotaka kudownload ( wimbo, file, movie, etc)
  • na unakidonlowd kutoka link (kiunganisho ) gani
   
 3. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kuna baadhi ya vi2 ukitaka kudownload inakuambia mpaka uwe na os ya vista,7 e.g window explorer 8 mi iliniandikia mpaka niwe na hizo windows...2tajie hicho ki2 unachotaka kudownload then u2wekee specification ya laptop yako e.g Ram ukubwa gani?Processor speed ngapi,hard disk ukubwa gani? Ili 2kusaidie kama inauwezo wa kuweka hizo Os au la.
   
 4. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Sio mtaalamu jamani
  Specification atazionaje, tumsaidie kwanza ajue kama anatumia OS gani, kisha tumuelekeze jinsi ya kuona hizo specifications
   
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asante,heri ya mwaka mpya kwako pia.
  mpendwa wangu nashukuru ila kuna mtu tayari ameshanisaidia,ila sio kweli kuwa kuwa kila OS inaweza kudownload kila kitu,mfano kitu nilitaka kudownload ilikua inataka lazima niwe japo na windows 7,vista or explorer,then nilitakiwa niwe na something i dont know 32 - 62 bits nadhani.

  Narudia tena,asante kwa nia ya kutaka kunisaidia,Ubarikiwe.
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kujua ni Windows gani unatumia, Right Click "My Computer" Kibox kitakachotokea Shuka chini Click "Properties" halafu soma maandishi yanayotokea upande wa kulia, anza hapo palipoandikwa "System"

  Ukishajua wakati unadownload unamalizia unachokidownload kwa kuweka neno "for Windows....(unayoitumia)..."
   
 7. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ni kweli hata hicho kitu nataka kudownload lazima hakikubali kwenye mozila fire foxy.
  Hiyo OS nishabadilisha na nimeshadownload nilichokua nataka,ila nafanyaje ili nijue Processor speed ngapi,hard disk ukubwa gani?
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Right Click my computer utapata halafu select properties utafata system inf zote
  Pia uki right click my computer then uselect Explore itakuonyesha hard drivers na size zote
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kwani ulikuwa unataka kudownload nini hadi ikakwambia hivyo?
   
Loading...