Wakuu nawaombeni Msaada kuhusu speed yangu ya internet Connection Modem ya ADSL.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
Mimi ninatumia Computer yangu ya mezani Desktop Computer nina share na wenzangu wawili nyumba tofauti yaani majirani zangu kwa ajili ya kulipa internet Connection na Speed yangu ya internet ni 8.00 MBPS ajabu kila inapofika wakati wa usiku mimi na wenzangu tunapotumia pamoja internet Connection yangu mimi ndie mtoaji Line niliyowapa wenzangu inakwenda Slow taratibu sana nifanyeje ili niweze kutatua hili tatizo? kwa sababu Speed yangu ya internet Connection kwa nyumba 3 ni kubwa lakini mie napata kidogo sana mnanishauri nifanye vipi ili niweze kulitatua hili tatizo? asanteni
 
Internet ipo slow katika kubrowse au kudownload?
 
tatizo hili lilikuwepo tokea zamani au limeanza ghafla? Kama halikuwepo tokea zamani basi kuna uwezekano mkubwa wa wenzako kuwa wanadownload au kuwatch video sana hasa wakati wa usiku
 
Ku Browser sio ku Download.

hata kama wana Watch Video lakini haiwezekani kuwa slow namna hii wakati Wanaonipa line wamenipa naweza kutumia kwa 8.00 MBPS kwa mfano tukigawana kila mtu achukue 2.00 MBPS bado zitabaki 2.00 MBPS sasa kwanini nipate Slow ya kufunguwa web Browser?
 
Ndugu yangu,8mbps sio mchezo,kwa ADSL wala hupati hyo,utakuwa unapata dedicated internet kwa either 128kbps au advanced one 512kbps ndo mana ukifanya sharing inadrop,infrastructure nyingi za kibongo hazifiki huko ingawa business wise kwa mmoja mmoja wanaweza kukuvutia kukwambia hvo
 
Kama tatizo lipo kwenye kubroswe na sio kudownload then probably tatizo hilo linaweza kutokana na history au internet cache ya browser yako ambayo ipo nyingi sana ndio maana inasababisha browser yako inakuwa slow. jaribu kuclean your browser kwa kutumia software inayoitwa ccleaner. Kwani wewe unatumia browser gani?
 
Mkuu mimi sipo Bongo nipo nje ya nchi na ninalipia kwa mwezi dola 80 huku nilipo ipo mpaka 32.00 MBPS uwezo wako kipesa mkuu huku huwezi kufananisha na Tanzania tupo mbele sana kimaendeleo Mkuu.
 
Kama tatizo lipo kwenye kubroswe na sio kudownload then probably tatizo hilo linaweza kutokana na history au internet cache ya browser yako ambayo ipo nyingi sana ndio maana inasababisha browser yako inakuwa slow. jaribu kuclean your browser kwa kutumia software inayoitwa ccleaner. Kwani wewe unatumia browser gani?
natumia Google chrome wakati mwengine natumia mozillafirefox
 
tatizo hili lilikuwepo tokea zamani au limeanza ghafla? Kama halikuwepo tokea zamani basi kuna uwezekano mkubwa wa wenzako kuwa wanadownload au kuwatch video sana hasa wakati wa usiku
Nakubaliana na wewe kuwa hao wenzangu wana Download Bit Tororrent ninafikiri nitawachunguza kwani IP zao zote ninazijuwa nita Wa Hacker tu waache wajifanye wajanja.
 
Huna haja ya kuwahack mkuu. Nadhani solution ni kuinstall software ya bandwidth manager na kila mtu ukamassign bandwidth yake
 
NItakupa options mbali mbali zitakazo kusadi kujua tatizo ni nini

  • Hiyo ADSL itakuwa ni router . Sasa ili kuujua tatizo unatakiwa ufanye monitring ya Router. ukimonitoer router utaona upoad na downlolad ya kila kifaaa kilichconnect . na kinachopata internet kutumia router hiyo. Vile vile jaribu ulogin kwenye router uone iko cofigured vipi. 8.0 MBPs yawez kuwa uwezo wa router lakini ISP inawezekana kaweka maximum dowload kuwa 2 MBPS
  • Vile vile sometime connection inaweza kuwa slow kama una interference( muingiliano wa mawimbi) na router za nyumba nyingine) interference hii intokea kama router zinatumia channel moja. So jaribu kubadilisha channel (masafa )ya router . sasa kwa usiku inawezeakana la nyumba wa busy na internet na masafa ya 2.4 GHz ambayo yanatumika na router yana muingiiano sababu ni free. zaidi ya ingawa ruter ni 8.0 MBPS ISP sehemu nyingi duniani wana kitu kinaitwa fair usage policy. So kila mtu anpodowload uwezo unapungua wa hiy asubuhi net inaweza uwa na usiku ikawa slow.
Unaweza kutumia ping na tracert commmad ambazo iztakupa picha chanzo cha tatizo kama ni kwao au ni wa ISP

Fanya ping test na au trecert kwa google.com au jamiiforums.com wakatiti hakuna tatizo na wakati iko tatizo Matokeo yatayoku uja unaweza kuyatafsiri kujua nini tatizo au yweke hapa tuusaidie kuyatafsiri
yaani kwenye command andika Ping google.com -t

Utaona majibu kama haya Hizo time za ms zina maana yake
media_1263501736126.png

unaweza soma matumizi zaidi ya ping utroubeshot networ hapa

Vile vile command ya tracert nay ni nzuri zaidi ukup picha ujue network inkuwa slow wapi na atika hop gani. Kweye command prompt andika tracert gooogle.com Utaona mjibu ama Kama mfano huu chini unavyonyesha

traceroute.gif

Kuelewa haya majibu yana maana gani na tatizo liko wapi unaweza soma hapa kama utakuwa hujaelewa weka hapa majibu ya tracert

NB
kifupi hii trcert inaangalia data kutoka kwako mpaka tovuti fulani zinapitia hatua gani (hops/vituo) na zinatumia muda gani (ms)

kwa hiyo tumia ping na tracert comman kutroubleshot network
 
Mkuu nimejaribu ku ping imetokea hivi naona ni poa mbona hakuna matatizo kwenye Network yangu hebu ona hapa

ping.gif
 
Hizo time za a 280 ms na 279 ms ni kubwa sana. kwa router yenye uwezo wa 8.MBPS Lakini baada ya kuping mediacollge.com ebu jaribu na kufanya Ping ya google.com . Tatizo lako sio kwamba huna network bali iko slow so inawezekana kuna inteference usiku.

jaribu kubadili channel sijui unatumia router gani(Netgear) mara nyingi zipo kuanzia 1 hadi 11 kama sikosei
 
Router yangu sio Wireless Router yangu ni ya kawaida ina port 4 Origo 4 Port ADSL 2/2 + Modem nawapa njia mimi hawa majirani zangu mimi ninahisi Service provider wa internet ananifanyia uhuni ndio maana kuna wakati inakuwa iko powa kuna wakati hata nikiangalia speed inarudi chini mpaka kufikia 1.5 MBPS kutoka 8.00 MBPS ninahisi wanafanya mchezo wa kunipunguzia hawa [h=1]Service provider nimeshawalalamikia wanasema wanarekebisha lakini ikipita siku moja tena inarudi kama kawaida slow internet Connection.[/h]
 
Setup yangu ipo hivi mkuu mtazamaji Router yangu ni hii

Setup
The Setup section allows you to create new connections, edit existing connections, and configure other basic settings.
Advanced
The Advanced section lets you configure advanced features like RIP, Firewall, NAT, UPnP, IGMP, Bridge Filters, and LAN clients.
Tools
The Tools section lets you carry out system commands and perform simple system tests.
Status
The Status section displays status, log and statistical information for all connections and interfaces.
Help
The Help section provides information on configuration and settings for each section.
Status Information
System Uptime:21 hours 20 minutes
DSL Status:Connected
DSL Speed:799/8187kbps
Ethernet:Connected
Software Version:3.6.0C_KON_07.1A

Network Statistics
Choose an interface to view your network statistics:
EthernetDSL
Transmit
Good Tx Frames3011749
Good Tx Broadcast Frames53
Good Tx Multicast Frames0
Tx Total Bytes3878456002
Collisions0
Error Frames0
Carrier Sense Errors0
Receive
Good Rx Frames1902714
Good Rx Broadcast Frames2465
Good Rx Multicast Frames72251
Rx Total Bytes320014518
CRC Errors0
Undersized Frames0
Overruns76
 
LAN Clients
To add a LAN Client, Enter IP Address and Hostname, then click Apply.

Select LAN Connection: LAN group 1
ti_error_blank.gif
Enter IP Address:
ti_error_blank.gif
Hostname:
ti_error_blank.gif
MAC Address:
ti_px_505050.gif
Static Addresses
DeleteIP AddressHostnameMACType
192.168.1.3router00:00:00:00:00:00Static
Dynamic Addresses
ReserveIP AddressHostnameMACType
192.168.1.2SAADYAROCK-PC00:30:67:05:e2:d0Dynamic
192.168.1.4unknown88:ae:1d:9e:ea:b5Dynamic
Point at the error marker to see the error description

Haya Wakuu pamoja na :Mkuu Mtazamaji kuna kosa lolote katika ku Setup modem yangu?
 
Router yangu sio Wireless Router yangu ni ya kawaida ina port 4 Origo 4 Port ADSL 2/2 + Modem nawapa njia mimi hawa majirani zangu mimi ninahisi Service provider wa internet ananifanyia uhuni ndio maana kuna wakati inakuwa iko powa kuna wakati hata nikiangalia speed inarudi chini mpaka kufikia 1.5 MBPS kutoka 8.00 MBPS ninahisi wanafanya mchezo wa kunipunguzia hawa Service provider nimeshawalalamikia wanasema wanarekebisha lakini ikipita siku moja tena inarudi kama kawaida slow internet Connection.

Kama computer zinacnnect kwenye router through wired connection then inteference haiwezi kuwa tatizo . Tatizo hapo kama unavyosema probably ni kwa ISP. Mara nyingi ISP wana kitu kinaitwa fair usage policy. Sio hiyo fair usage policy ndio uhuni wa ISP ambao kisheria sio uhuni.

Fair usage Policy iko hivi .Yaani hata kama una gari la mashindano linatembea kwenye bara bara ya lami wakati wa jioni dar sababu ya msongamamo wa magri haliwezi kwenda kwa kasi iliyokusuidiwa. KILa mtu mwenye anavyotumia barabara hata kama una gari zuri haitawezekana ya kuliendesha kwa speed yake ya juu. Hilo ndilo tatizo unaloweza kupata. Kuna muda wateja wengi wa ISP wako online kwa hiyo upload /downlad utakazopata wewe mwenye router ya 8.MBPS hazitofautiani sana na mteja amabaye ana router yenye 1.MBPS.

kwa haraka reading za ruter zinaonyesha(Tx na Rx) upande wa client yaani kwako na wenzako hauna shida. Shida iko upande wa ISP.

Kama hiyo 8.0 MBPS unaliipa mshiko mkubwa waambie wadowngrage kuwa 4.MBPs maana kwa performance hiyo hakuna tofauti na wanaoumia ni wale wenye package kubwa.

otherwise komaa nao ISP washushie nondo wajue wewe si end user bali ni mtaalam mzizimkavu mwenyewe.
 
asante sana kwa ushauri wako mimi ninajuwa hawa watu ISP ndio wanaonifanyia uhuni pamoja na yote uliyonieleza ni ya kweli lakini kwanini walitoa matangazo kuwa kama kuna mtu anataka speed ya internet kuanzia 1-8 Mbps na 8-16Mbps na 16-32Mbps na mimi nikachagua hiyo ya 1-8 Mbps Unlimited na wananipatia wakati mwengine zote na wakati mwengine inapungua na kufika mpaka 6 Mbps Unlimited nitajitahidi kupambana nao hawa ISP nawalipa pesa nyingi kila mwezi dola80 za bure wakati wananiibia Mbps zangu. Asante Mkuu kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom