poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
habari wana jamvi
Nina tatizo kila nikijaribu kuinstall adobe audition 6.5 katika pc yangu inaanza vizuri lakini ikifika kama asilimia 7 inapotea.najaribu kuisubiri kwa muda mrefu lakini wapi.Os ktk my laptop ni windows 7 ultimate.Naombeni msaada wenu nini tatizo au nifanyeje ili niwezekuinstall hii program