jaman naombeni msaada, i installed avira antivirus kwenye dell inspiron, kabla haijangia yote something went wrong na laptop ikazima. sasa haitaki kutoka wala kuinstall nyingine, nifanyaje?
Umeona eeh? Kuna alternative utilities nyingine kazi yake ni ku uninstall specific anti-virus moja, which begs the question, how many are u gonna need to keep, one for every app out there? Revo Uninstaller ni spana malaya, haichagui, na haifanyi ajizi, I like pale inapomaliza ku uninstall halafu inakuuliza, ee bana, kama namna gani tuendelee kutafuta traces za hiyo application kwenye registry, unasemaje?Revo Unistaller was awesome