TanzCN: Ushauri wa kiufundi,kiutumiaji na kimuonekano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TanzCN: Ushauri wa kiufundi,kiutumiaji na kimuonekano

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kilongwe, Jan 21, 2012.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mwana jamii, tumemaliza kudesign tovuti yetu http://tanzcn.com/ ambayo lengo ni iwe link kwa Tanzania na China, kama mutaangalia mutaona kwa sasa kila kitu ni made in China, hivyo hatuwezi kuepuka kufanya nao biashara hawa jamaa ila la muhimu ni kuelewa biashara na mazingira.

  [​IMG]


  Lengo la tovuti hii ni kuweza kuwapa wasaa Wafanyabiashara wa kitanzania walio Tz kuweza pata information za uchina, wale walio China kuweza kutangaza biashara zao,pia kwa wachina nao vivohivo. Bila kusahau kwa wanafunzi wataweza kupata taarifa zote juu ya shule,scholarship na hata kuweka booking za kupokewa, si unajua maisha huwa magumu pale siku unapoingia Zhongguo hata Nihao bilabila. Nimesahau, pia utapata wasaa wa kujifunza Kichina toka kwa walimu wa Kitanzania.

  Tutaandaa full document ya hii site na kuizindua rasmi, ila kwa sasa nimeipresent hapa ili muone na mutoe mchango wenu. Nini kiongezwe, nini kiondolewe na wapi parekebishwe.

  [​IMG]

  Tumetumia mtindo huu kwa sababu tumetumia Opensource kutengeneza hii tovuti hivyo basi kila kitu kipo wazi. Shime wana jumuiya je ungependa kuona nini kinakuwemo ndani ya TanzCN?

  Kilongwe
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hongerenı kwa wazo jema.
   
 3. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Haoxiang ni whei chang zhongwen. Dui ma?
   
 4. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hehe,umenifurahisha mkurugenzi, Whei=hui, chang=jiang
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Safi Mkuu kilongwe kazi nzuri
  ngoja waweke wadau michango yao kwanza mimi nitakuja na ushauri wa kiutumiaji siku chache zijazo.
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Kilongwe Afroit mbona haipatikani imekuwaje
   
 7. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Imepigwa chini na SOPA
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  xiexie zhu nin xin nian hao....
   
 9. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Hen ganxie. Wo hai zai xue zhama xie. Zai wanglu nali wo hui xue hao.
   
 10. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kaaazi kwelikweli, mzee mashambulizi yanakuja very very soon. Tupo kwenye maandalizi mengine kikazi zaidi, Dudumizi Solutions (Tz) Ltd - Home iambayo tutaizindua siku zi nyingi kwani kila kitu tayari tumeshakamilisha. SOPA hawezi vuka Greatwall mkuu.
   
 11. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 12. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
 13. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tianshang jiu hui a, wo name tiancai. xie pinyin hao lei. Unajua nini, unanikumbusha miaka ya 2005 naanza hii lugha, nilikuwa napenda kutohoa kinoma, hehe. Tuko pamojah!
   
 14. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwanza napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wa kichina, aka mwaka wa Dragon. Ni dhahiri kuwa China imekuwa ikiendelea kwa kasi na kufanya mataifa mengi ya magharibi kuionea wivu na kuiogopa, sisi tukiwa kama Watanzania lazima tuitumie hii nafasi kikamilifu. Waswahili walisema mchezea unyunyu haachi kunukia. Pia kama munavyojua kutokana na mila na desturi za China kwa mtu wa nje ambaye haijui vizuri mara nyingi hupata utata mno,achia wafanyabiashara wanavyopata tabu na kutapeliwa bali pia wanafunzi wengi wamekuwa wakipangiwa vyuo ambavyo havina hata kozi wanayoitaka na ukishafika hakuna anayejali, binafsi nimewahi kuonana na wanafunzi wa Kitanzania saa tisa za usika kashuka Airport hajui hata pa kuanzia( its not a joke). haya yote ndio yaliyonisukuma kuanzisha hii tovuti, kufanya kitu kwa ajili ya Tanzania na sisi. Lengo kubwa la tovuti hii ni kutoa mianya na nafasi na kuiweka China ndani ya kiganja chako. Pia kuwezesha kuitangaza zaidi Nchi yetu katika jamii za Kichina ili kufungua nafasi zaidi kwa jamii ya Kitanzania.
  [​IMG]
  Tovuti ya TanzCN imegawanyika katika makundi sita.1. Forums: Kwenye forums utaweza kuuliza maswali ya biashara,elimu,kazi,maisha na mengineyo.2. Directory: Hapa kwa wafanyabiashara walio China na Tanzania watapata nafasi ya kutangaza huduma zao moja kwa moja, pia kwa watumiaji watapata wasaa wa kuthaminisha,kuwasiliana na mmiliki na mengine mengi. Kuweka biashara yako nii bure kabisa.3. Community: Hapa utaweza kuwa na kurasa binafsi, lengo la kuwa na community ni kuweza kujumuika na kujua nanii anaweza na anafanya nini, chukulia mfano wewe unataka kujua nani ana maarifa ya mitambo ya miamba, kwa kuona profile la mtu fulani basi moja kwa moja utajua kazi anayofanya na kuweza kujua mengi zaidi juu yake.4. Expat Info: Hapa utaweza kupata habari zote za kiprofessional juu ya China na Tanzania, chukulia mfano wewe ni mfanya biashara wa Tanzania unataka kuja kununua bidhaa Uchina, ukurasa huu utakupa mwanga wa juujuu ni jinsi gani utaweza kufanikisha hilo. 5: Matukio: Kwenye ukurasa huu utaweza kuona matukio yote yanayoendelea Tanzania, China. Haya ni matukio yenye uhusiano na pande zote mbili, iwe ni mkutano, kikao au kongamano.6.Blog:Hapa utaweza kupata kuona maisha ya Watanzania na Wachina hivyo utajifunza mengi kupitia kurasa zao, chukulia mfano katika pitapita ukaonana na kitu ambacho kimekuvutia basi utaweza kugawana na Watanzania wenzako kwa kutumia kurasa zetu za blog. Pia kuna kurasa na News toka Uchina na Tanzania Bila kusahau, watu wote watakaojiunga wataweza kupata email za bure zenye vikoo vya vya @tanzcn.com kwa mfano nyonim@tanzcn.com , email hizi utaweza kutuma hadi 1GB, kutuma email kwa muda maalum(kwa mfano Bday wishes), unlimited storage nk. Kama unahitaji, basi tuma private email kwenda kwa info@tanzcn.com ukuandika jina la email unayotaka.(Email hizi ni sequre kwani zinahifadhiwa na QQ): NB: Email zote zina lugha mbili kichina na kingereza.Hivyo, shime Matongbao, sambaza ujumbe huu kwa kila Mtanzania aliyesoma, ishi au fanya biashara na Uchina(kiujumla Mtanzania yeyote mwenye kutaka kupata info yoyote ya China kwa Mtazamo wa Kitanzania), bila kusahau wachina wote wenye uhusiano na Tanzania. Pia tunawahimiza Watanzania mujiunge na kuitumia TanzCN kadri uwezavyo.NB: Uzinduzi wa TanzCN utawajia hivi karibuni ambapo itazinduliwa Wuhan, Beijing na Guangzhou kwa China na Dar es Salaam kwa TanzaniaTanzCN - Linking Tanzania and China!
   
 15. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Kanjilai nida Zhongwen hen jin. Dui, xie pinyin hao lei, tanshi twei waiguo ren bijao rongyi. Wo zai Nanfei san nien xue Zhongwen. Nikafanyakazi as translator for one year, then nikaachana na Chinese language industry. Suoyi shien zai kaishi wangji Chongwen. Woda ziliao dou lio zai Nanfei. Am planning to go back and pick them. I can see you are doing good with Chinese. Hongera kwa juhudi zako mkuu. Tuna mengi ya kujifunza from Zhonguo ren. Tamen dui shamadou hen lihai.
   
Loading...