Msaada "blue screen" kwe dell latitude d 620 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada "blue screen" kwe dell latitude d 620

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MDAU JR, Jan 28, 2012.

 1. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu naomba mnipe ushauri wa kiatalamu, pc tajwa hapo juu inatokea kitu (nasikia) inaitwa blue screen mara kwa mara hasa nikiwa kwe net, je hii pc ndo bye bye au? msaada kwe tuta tfdhali.
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Soma event log ili kujua intro hiyo blue svreen inasababishwa na nini . Kwenye computer management nenda wenye event viewer alafu cheki system. jaribu kucheki maelezo ya event zenye alama nyekundu. maana blue screen zipo zaa ina nyingi na zina na zina error code tofauti.....

  Event viewer ni kama Audtor wa computer inayorekodi matukio mbali mbali yanaoendelea kwenye computer...........

  cheki hapa
  kujua unavyoweza kutumia event viewer kujua tatizo.
   
 3. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante mkuu, baadhi ya descriptions za event nimezielewa lakini hizi zifuatazo hapa chini nimeshindwa kuzielewa na pia naomba unielekeze ni nini cha kufanya ili kuzuia.

  -The Toolbar Update service terminated unexpectedly.
  -The time service has detected the system time needs to be changed by 54039 seconds.
  -Timeout (30000 milliseconds) waiting for transaction response from the avgfws service.
  -The TCP/IP Net BIOS helper service depends on the AFD Service which failed to start because of the following error:
  A device attached to the system is not functioning.
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  hilo ni tatizo mkuu na linaitwa BSOD yaani Blue Screen Of Death. Tatizo hili mara nyingi husababisha na hardware hasa Hard disk yenye bad sectors lakini pia tatizo hili linaweza kutokea endapo file system na registry key za OS yako zitakuwa damaged na virus. Blue screen of death can be fixed but in deeds more skills to do this but first find out tatizo liko then we will go to another step
   
 5. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante, nina imani kubwa kwamba tatizo limesababishwa na OS kuwa damaged na virus kwa kuwa sina strong antvirus, so, may we go to the next step Sir?
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuu Hizo sio critcal error za kusabisha blue screen . Hizo ni warning na alert za kawaida zisizo na madhara . Inayosababisha Blue screen kama unaumbuka muda na a tarehe iliyotokea basi utaona ina alama nyeukundu . Ie ni system event

  Altentively au option nyingine unaweza fanya na kuset ikitokea hiyo blue screen tena komyuta isijizime na ujiwasha automtically ili uweze kurekodi details . Baada ya kureocrd details za blue screen utajua chanzo na unawezakulitatua .

  Ni vipi utaset hivyo? Soma hapa
  troubleshooting blue screen of death

  Naif gogle is yu frind ututana na vitu ama hivi
  Troubleshooting Windows Blue Screen Errors
  Troubleshooting Blue Screen | Fix Blue Screen Errors

  So ukiisoma ujume ujumbe utaweza kujua tatizo kama ni HDD inataka kufa au ina tatizo ni driver au kuna hardware fulani inasumbua au kuna software ina kasheshe   
 7. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
Loading...