Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Please HELP! it is a zantel modem
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wa MB 200 za bure kutoka airtel internet kwa sasa ile offer imerudi! Cheers:poa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumia sim Nokia 2730c kama Mordem Kwenye PC yangu Ila Ipo Slow Saana Natumia Airtel 3G. Naombeni msaada kama kuna njia ya kuongeza Speed Thnx
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Plse help me Sasatel smtp address I want to use mail client e.g. outlook
0 Reactions
3 Replies
1K Views
please send rectriction code for nokia 2730 c
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu wataalamu wa kuchakachua, nina iphone 3G , sijue nifanyanye ku unlock?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau samahani,naombeni mwenye maujuzi ya jinsi ya kudownload utorrent kwa maana ya kuinstall kwenye computer yabgu anisaidie,au kama kuna mtu anajua software yoyote makini kwa ajili ya movies...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
kwa wanaotumia mozila,explorer nk ebu jaribu kutumia opera ni safi sana kitu kama unatumia computer za mac ,safi sana wakuu hata katika kuwnload ni safi kabisa nimeipenda sana mimi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari za kazi wakuu, Naomba msaada wa nokia x2 unlock code (T Mobile) Nimeletewa toka usa ina line ya T Mobile ila ikiwekwa line ya hapa inataka sim unlock code.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Canadian scientists are developing a robot that mimics the human face's expressions and human hand's tactile processes, which they say will be useful in areas like nursing, nuclear plant...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Kuna kakitu kanaitwa Banjuka kwenye matumizi ya internet ya TTCL kamenifanya niibiwe mchana kweupe na kampuni hii. Wanasema wanatoa unlimited bundles: Tsh 1000/hr kuanzia saa 12 asbh - 12 jioni...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama ulitembelea tovuti kubwa kama Google, Wikipedia na hata Facebook, nadhani uliona kuna ujumbe uliokuwa unaonesha kupinga miswaada miwili ambayo serikali ya marekani inatizamia kuipitisha kuwa...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Website nyingi za tanzania zimekubwa na mikasa mingi sana ya kuvamiwa na virus, zikiwemo za mawizara mbali mbali... hii ina ashiria nini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
i have been trying my best to trick for the free internet,but it seems am going to put ma hands up!this damn business cracking ma head. i was browsing some where on...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Habari ndugu wana-JF? Naomba mwenye kufahamu vizuri anieleweshe ni nini maana ya Oracle RAC.. Na Oracle-Apps ni kitu gani hasa.. Nataka kuchagua kati ya hizo niisome vizuri.. Au naweza zisoma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau haya mashirika ya simu ya hapa nchini kwa kweli yana huduma mbovu sana,mimi natumia internet ya vodacom,kwa kweli mtandao huu ni mbovu hakuna mfano!wako slow mno,kifupi ni maudhi tu,tofauti...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kuongeza idadi ya maneno ktk sms kwani simu yangu inaishia 90 na yakizidi inaingia ktk mms..na hapo ukituma msg haiendi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa wana Jf, ni juzi tu niliistal W7 kwenye mashine yangu, baada ya hapo nikalog Yahoo, uups! Invalid pasword, nikajaribu ya my waifu wangu, invalid pasword. Kiukweli nimepaniki sana kwani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
THE DEMISE OF THE COMPUTER MOUSE? It's hard to imagine a computer you can control with your eyes, but the technology exists and should be available on store shelves in the next couple of...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
(Reuters) - The U.S. government shut down the Megaupload.com content sharing website, charging its founders and several employees with massive copyright infringement, the latest skirmish in a...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…