Magazeti ya Alasiri na Darleo.

Magazeti ya Alasiri na Darleo.

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
641
Wakuu naomba kujuzwa iwapo magazeti ya Alasiri na Darleo yameondolewa online.
Mimi nipo mikoani, nahitaji kufuatilia habari za mchana hasa sakata hili la mgomo. Kila nikigoogle sipati kitu, na mbaya zaidi nikiingia kwenye web ya alasiri, inadnidirect kwenda IPP Media. So, mwenye kujua hili naomba aniwekee links zake hapa.
 
Back
Top Bottom