Account ya yahoo inagoma kufunguka kwenye PC yangu tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Account ya yahoo inagoma kufunguka kwenye PC yangu tu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MIGNON, Jan 27, 2012.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Naombeni msaada.Account yangu ya yahoo inagoma kufunguka kwenye laptop yangu lakini niktumia computer zingine inafungka.
  Mara zote inakuja "incorrect password".Nimeingia help na kuajiribu options walizotoa lakini bado.
  Nime scan computer na kuondoa temp files pamoja na kumwaga recycle bin lakini bado.
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  upgrade internet explorer yako to ver 8 or 9 au tumia webbrowser zingine
   
 3. IamError_D

  IamError_D JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 424
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  mimi nina tatizo kama yako.. sijui jinsi kuitatua yaani nilikuwa natumia chrome ku login my account ikaniletea meseji wrong username na password baada kuangaika nikahamia internet explorer ikakubali ku login lakini tatizo lake slow speed tofauti chrome...
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Jaribu ku clear cache na cookies zote za yahoo
   
 5. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu explorer nayo ni hivyo hivyo.
   
 6. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Nimefanikiwa ku solve problem nayo ni ku enable java.Nimefanya hivyo na shida imeisha.
   
 7. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mkuu hata ,mie nna shida ka hii, sasa hii java tunaienaboje?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  nemu kolingi.......
  report abuse...button....kwachaaa.......

   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama unatumia Airtel wao ndio wenye tatizo kwani wanakulazimisha kuhamia yahoo server ya india na kama umewahi kukataa kufanya hivyo ndio maana kwa sasa huwezi kufungua email yako.


  Cha kufanya download ultrasurf itabadilisha proxy na wewe kuonekana unatumia mtandao ukiwa marekani hivyo utaweza kufungua yahoo email yako bila shida, pia ukitumia modem ya tigo kwenye computer yako e-mail yako itafunguka vizuri tu.  Ili tatizo limewakumba watumiaji wengi sana wa Airtel hasa wale walio kataa kuhamishia data zao kwenye server ya India.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ahahahhaha P tena kama vile umejua nipo naaandaa kukuazishia name caling yako kule wenye chit chat. kama ile ya mwita25 na kiranga. jitayarishe...........
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mamaaa weee......siku zangu za kujinyonga zimewadia........kwaherini wote.....

   
Loading...