Recording your desktop applications.

Recording your desktop applications.

kotinkarwak

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
376
Reaction score
115
Screenr | Instant screencasts: Just click record
Software inatumika ku'record events on the desktop. Mfano, kama unapata tatizo fulani na application, ni vyema ku'record nini kinachotokea wakati unaitumia hiyo application na ukiiweka hap JF au kwenye help site yoyote, wanaoweza kukusaidia watafahamu zaidi nini kinachotokea. Pia inatumika kuonyesha/kufundisha mambo ya IT.
Enjoy...

update: Hii itatumika tu online... zipo ambazo unaweza download, nitatafuta links zaidi

camstudio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom