Kuzui namba

Kuzui namba

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,595
Reaction score
1,863
niliisoma hapa lakini sikuilewa..naomba mwenye kufahamu software free ya kuzui bahadhi ya namba za cmu na sms kwenye cmu ya nokia e71 please.
Thax.
 
Ingia kwenye Nokia Ovi store au Getjar zipo za kumwaga utajichotea unayoitaka.
 
niliisoma hapa lakini sikuilewa..naomba mwenye kufahamu software free ya kuzui bahadhi ya namba za cmu na sms kwenye cmu ya nokia e71 please.
Thax.

Best download kaspersky ya simu ina white na blacklist ukimueka tu ndo umemblock
 
atapataje acivation keys .mana trial ikisha shida itakuwa ni ilele kama unayo na activation key ya hao jama msaidie
 
Niliwahi kutumia Nokia, nenda gertjar au ovi store zipo za bure
 
jaribu hizi za symbian s60v3,,,,fanya installation na zingine zina keygenerators hapo hapo....
 

Attachments

ingia Ovi alafu download software inaitwa mobile guard (NetQin mobile guard v3) alafu install kwenye simu yake kisha uirun..ukiirun ingia kwenye call filter utatatua tatizo lako...
 
Back
Top Bottom