G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wadau naomba kujulishwa kuna nyoka flan hv nimefanikiwa kuonana nao mara nying kwa mara ya mwisho ilikuwa leo ndipo nilipomuona nikatafuta fimbo na kumlushia kwenye majani Hawa nyoka wana rangi kama udhurungi ambayo haijakolea ukiwaona ni kama minyoo wakubwa hata vichwa vyao havieleweki ni kama hawana na huwa hawapo shapu wanaangaika na ngozi yao inaonekana kuwa nyororo kama ya minyoo hv sijui mnaowafahamu nyoka mmenipata je hawa nyoka wanaitwaje na je wana madhara yoyote?