Pata na tumia mafile au documents au software zako sehemu yoyote duniani bila kuwa nazo mkononi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata na tumia mafile au documents au software zako sehemu yoyote duniani bila kuwa nazo mkononi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by networker, Jan 27, 2012.

 1. networker

  networker JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Watu wengi tumekuwa tuki poteza vitu vyetu vingi kama software,Documents za muhimu au hata kuliwa na virus.au kuwa mbali na vitu tunavyo itaji .kwa Mfano mtu uko moshi CV yako iko Dar [kuweza ikupata ina kuwa ngumu .ila njia rahisi na inaeleweka hii hapa.

  Fungua link hii http://db.tt/EhNKsSDa itakudai kujaza jina na email na pasword weka jina lolote utakalo penda .email na password pia weka ili ku create account email ambayo huta sahau kwa sababu ndio utakayo tumia ku log in.Bonyeza kitufe cha create itafunguka page nyingine na ita anza kodownload software ambayo utakuwa ukitumia.iki maliza kudownload install hiyo software yako .ukiangalia vizuri utaona kwenye bar yako hapo chini kulia mahali vionesheo vya betri,speaker,mudda na tarehe zina kaa utakundua kuna kiboxi cha blu kimeongezeka,hiyo ndio software yako sasa unaweza kuifungua hiyo kibox na kuweka chochote unacho jisikia ndani kama document zako muhimu,software zako muhimu na chochote kile kitakacho weza kuingi kitu cha kuzingatia ni kwamba hiyo box ina uwezo wa kuchukua vitu hadi GB 2. kinacho fanyika na hii box ni kwamba unapo weka kitu ndani yenyewe ina sync hicho kitu online kwenye ile account yako uliyo ifungua mwanzoni..Hivyo basi ukienda kokote Duniani ukifungua hii website yao DROPBOX.COM utaona kisehemu cha ku log in
  unaweka tu ile email yako ya mwanzoni na password inafunguka na mafile yako au document au software zako ulizo ziweka kwenye ile box unazikuta na unaweza download kwa matumizi yako.

  chakujua zaidi ukifungua box yako ukaona kuna vitu ulivieka vina ki tiki cha kijani ina manisha hiyo kitu kimesha kuwa syncd online hivyo unaweza kuifuta ili kupa mashine yako nafasi ya kuweka vitu vingine.ukiona kuna kama ki tairi nina zunguka kwenye file zako ulizo weka ndani ya box ni kwamba bado ina sync iki maliza ita weka ki tiki. chakuzingatia unavyoweka kitu kikubwa mfano movie ndivyo hela yako pia ina liwa.hvyo nawashauri muwe wa angalifu na vitu mtakavyo weka kwenye kibox chako kisiwe kikubwa sana .;unaweza weka files na documents na simple softwares

  kwa kutumia hii huduma bonyeza link hapo juu inachukuwa kama dakika 4 kukamilisha zoezi zima
   
 2. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mi sihangaiki sana, Natumia Google account tu!.:Contacts, Documents,nk.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwahiyo flasher azina kazi tena angalau masharobaro waache kuturingishia na viflasher shingoni
   
 4. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Upo sahihi mkuu mwenyewe naitumia. Wanaongeza mb 500 kwa kila mtu utakaye muunganisha up to max 8 gb. Mimi hadi sasa nina 2.5gb. So enjoy.
   
 5. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Lakini kiboko ya yote ipo hapa www.4shareddesktop.com ambao wanatoa 15gb so waweza weka material yako hapo kuna download kwenye hiyo web inaitwa synchronize ambayo utakuwa unaweka mafile kama alivyoeleza wa dropbox. So try but uwe makini kwa mtandao vinginevyo uwe wa office.
   
 6. H

  Hkeen Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekubali hii zaidi. Thax
   
Loading...