Mbona hujaweka maelezo ya hayo error ili tupate namna ya kukupa Ufumbuzi mkuu eRRy? ikiwa Computer yako imepatwa na Virus affected huwezi kupata hata internet connection ninafikiri hata hapa Jamii Forums usingeweza kuingia online jaribu kutupa Feedback nzuri sio kutoa nusu nusu tu mkuu asante.vista ndugu yangu!!