Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari wana jamvi Nina tatizo kila nikijaribu kuinstall adobe audition 6.5 katika pc yangu inaanza vizuri lakini ikifika kama asilimia 7 inapotea.najaribu kuisubiri kwa muda mrefu lakini wapi.Os...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
i need someone to tell me hw to unlock my huawei phone limited only to orange Kenya network provider???pliiiiiz tnx 4 any help
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Index of Windows XP Tips [*=left]Learn about Firewalls - Windows XP ICF Explained [*=left]How to block Messenger Service ADs? [*=left]How to use IEFix utility? [*=left]Using ToolbarCop to remove...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
The Desktop Slideshow options lets you configure the picture position, picture change interval and turn on or off the shuffle option. Here is another hidden feature in Windows 7 configurable using...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Microsoft Standalone System Sweeper, a tool which was only available as part of Microsoft Diagnostics and Recovery Toolset (MSDaRT) is now available for separate download. Microsoft Standalone...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
inaonesha signal full vizuri kabisa ila inagoma kukonekti inaleta msg 'connection fail' nifanye nini wakuu? thanks in advance :poa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajf Katika jitihada zangu za kujifunza pragramming kwa language ya C, nimefikia hatua kutengeneza simple pragram ambayo ili niweze kuiona kazi yangu natakiwa niwe na s'w ya Turbo C...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Samahani nilitaka kujua kwa hapa bongo hv ukisomea computer science ni rahisi kutoka(kupata ajira) au ndo vile bado tupo nyuma na kama zipo ni zipi?
0 Reactions
15 Replies
7K Views
unaweza kucommand computer yako na ikarespond vile unavyotaka,hapa namanisha ile respond inayoitoa baada ya kucommand na mouse au keyboad inaweza ikatoa hizohizo ukicommand kwa mdomo...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Wakuu aulizaye anataka kujua ni bora nionekane mshamba na mpumbavu kwa mda. Wataalam na wenye ufaham na ujuzi naomba kufahamishwa na kuelimishwa juu ya hili.Je zile tv za chogo kwa nin huwezi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kujua tatizo kwani jana nili-install kaspersky antiv..sasa leo naiwasha haiwaki mpk mwisho na inaishia ktk scren inayoonyesha start windows normally au from previous good setup...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Naomba akina MziziMkavu na wenzake mnijuze huu ujuzi,namna ya kukopy hizo page direct mnafanyaje mfano kama alivyofanya hutyu mdau katika hii post FUNGUA HAPA NITASHUKURU
0 Reactions
2 Replies
1K Views
well av been using ubuntu linux 11.10, had made a partition for it and now i want to remove it without affecting the booting loader for windows, assistance fellaz...:A S-coffee:
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari za kwenu wadau..naomba mnieleze jinsi ya kuformat simu ya nokia 5235 kwa kutumia codes..pia naomba kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata OS yake na kuweza kuformat kwa kutumia computer...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Ni miezi mitatu tangu ITV/RADIO ONE watoe matangazo kwamba hawatakuwepo hewani kwa muda mfupi,lakini cha ajabu ni kwamba mpaka sasa hawajarudisha matangazo yao, ajabu zaidi nikua tulikua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mbona modem za tigo na voda zinawork vizuri kwenye laptop yangu but nikiweka ttcl au zantell zinakataa hata kuinstall software zake,na nikiziweka kwenye pc nyingine zinakubali
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Wakuu kama kuna mtu ana uzoefu na anayo software hii hapa Tanzania naomba aniPM tuzungumze. Huenda tukafanya biashara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nitajitoaje na voda swaga great thinkers?wananikata pesa sioni sababu,naomba mnifahamishe nijitoe vip?
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Wakubwa kuna njia moja ya kutuma sms free na inaonekana imekuwa offered na facebook kwasababu step ya kwanza ni kutuma neno fb kwenda no 15666 jinsi ya kumalizia hzo conection mimi pia naomba...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
facebook yangu niki log in inaniambia is unavailable niende facebook.com kwa maelezo zaidi,na huwa naitumia kila siku,sijajua tatizo nini na nitalitatua vipi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…