Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,275
Samahani nilitaka kujua kwa hapa bongo hv ukisomea computer science ni rahisi kutoka(kupata ajira) au ndo vile bado tupo nyuma na kama zipo ni zipi?
Kwa sasa computer science waitimu ni wengi.Kama una weza kaza msuli chukua electronics/telecom au computer Engineering

Kazi za Computer Science
1. Database Administrator
2. System Analyst/ IT Business Analyst
3. Programmer
4. Webmaster
5. IT Specialist
6. Lecturer
7. Network System Analyst
etc
Codezilla hata hapa vimejaa sana IFM, St. Joseph CE, DIT, UDSM, na hapo sijataja vyuo vya mitaani. Tanzania tumoNjoo Kenya,kuna vyuo poa....Strathmore,JKUAT na Kenyatta Uni.
Syllabus za Electronics/Tele, Comp Sc/IT zinafana kwa % kadhaa tofauti ni nani anabobea wapi. Kazi zao nyingi ni katika kampuni za mawasiliano japo zipo ambazo hao wote wanne wanaweza fanya. Kuhusu vyuo labda waliopo Kenya watusaidie mi naamini hata vyetu vipo sawaKazi ya electronics/Telecom ni nini? kwa wenzetu Kenya wanavyo vyuo vizuri? Vya kozi hizo?
Codezilla hata hapa vimejaa sana IFM, St. Joseph CE, DIT, UDSM, na hapo sijataja vyuo vya mitaani. Tanzania tumo
Ukisoma computer science........unakuja kuwa mtu anaitwa programmer...........