2nd way ya kutuma sms free!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakubwa kuna njia moja ya kutuma sms free na inaonekana imekuwa offered na facebook kwasababu step ya kwanza ni kutuma neno fb kwenda no 15666 jinsi ya kumalizia hzo conection mimi pia naomba msaada wenu plz kwa aliyeanza kutumia plz!!! Na ni kwa tigo pekee msaada wa kumalizia conection plz!!!
 
mmm... najua uki-activate na fb kwa SMS wanakuwa wanakupa update kwa m2 aliyecomment kwa wall, add friend request, online chat..
 
ingia fbuk nenda setting nenda sms setting chagua mtandao unaotumia pale kuna tgo na zantel
Sa ulipotuma hyo sms ya fb kwenda 15666 nadhan ulitumiwa code flan sa hizo ndizo utadaiwa hapo fb uingize.
Ukishaingiza then kwisha kaz umemaliza utapokea sms ya maelekezo ya kupost status, kuadd friends na mengne kwenye cm yako
 
ingia fbuk nenda setting nenda sms setting chagua mtandao unaotumia pale kuna tgo na zantel
Sa ulipotuma hyo sms ya fb kwenda 15666 nadhan ulitumiwa code flan sa hizo ndizo utadaiwa hapo fb uingize.
Ukishaingiza then kwisha kaz umemaliza utapokea sms ya maelekezo ya kupost status, kuadd friends na mengne kwenye cm yako

huenda hyo huwa ipo hvyo ila kuna namna ukitumiwa namba na kukonferm ukakamilisha unamtumia mtu private msg free!
 
huenda hyo huwa ipo hvyo ila kuna namna ukitumiwa namba na kukonferm ukakamilisha unamtumia mtu private msg free!

Ndo hvyo ukishamaliza hizo process nilizo ztaja utaqeza mtumia mtu private msgs free naye akikutumia ztakuja kwenye cm yani hata comments na kila kitu
 
fanya hivyo acha ubishi mm nina zaidi ya miez miwili toka nijiunge na hiyo huduma na uwa nachati na watu wengne wanadhan mm muda wote nina pc kumbe natumia ktorch tu kuwajibu sms zao za fb
 
Ngoja nitest na mim humu ukiona kuna neno limewekwa usiliache lipite bure kwan kuna wadau wanafaidi sana.
 
ninavyojua mimi ni lazima uactivate huduma ya facebook kwa sms ili uweze kuwa unaupdate status yako kwa sms na hata kureply comments na message zako za facebook..pia facebook watakuwa wanakuletea updates zote zinazokuhusu kama kukutumia message iliyoingia kwenye inbox, kukuonyesha ujumbe alioandika mtu kwenye status yako, kukuonyesha comment za mtu katika picha yako au uliyokuwa tagged na updates nyingine za muhimu......
 
Tigo wameshtuka,sasahivi ukitaka kujibu sms Facebook kupitia simu,unakatwa 20tshs kwa sms 1!!!Bure imekwisha
 
simple one nenda kwenye facebook signup, utaulizwa use email or phone wewe weka namba yako ya simu ukianza na +255 halafu kwenye user name andika jina lolote ambalo unataka kulitumia kwenye facebook pamoja na password. Baada ya hapo utaambiwa usubiri comfirmation kwenye simu yako na uatafuatisha maelekezo. Ukiwa unataka kulogin facebook unatumia namba yako ya simu na sio email au user name
 
Hooo hakunaga cha bure jombaa.
Ni kweli fb wanatoa hudum hii bure ila tigo wao kwa sasa ukituma sms wanakukata kama kawa.
 
Back
Top Bottom