Namna ya Ku-Copy page katika browser

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Naomba akina MziziMkavu na wenzake mnijuze huu ujuzi,namna ya kukopy hizo page direct mnafanyaje

mfano kama alivyofanya hutyu mdau katika hii post
FUNGUA HAPA

NITASHUKURU
 
Naomba akina MziziMkavu na wenzake mnijuze huu ujuzi,namna ya kukopy hizo page direct mnafanyaje

mfano kama alivyofanya hutyu mdau katika hii post
FUNGUA HAPA

NITASHUKURU

Ukitaka kucopy page una press Alt+Print screen halafu unapaste unapotaka ila unaweza ku edit na kuikata kutegemea na kiapande unacho kitaka. Kwa nini nakwambia hivyo? Nakwambia hivyo kwa sababu short cut key hii hucopy kila kitu kama kinavyoonekana katika screen yako
 
mimi najua hiyo shortcut ya alt+prntscrn..pia huwa natumia prntscrn peke yake kupiga picha screen yangu na inakubali ninapoipaste kwenye documents kama MS Word document lakini nimejaribu kitu hiko leo kucapture screen na kuipaste kwenye post hapa ikakataaa kabisaaaaaaa..nilichofanya nikaiweka kwenye ms.word alafu nikasave then nikaattach kama pdf file...sasa kaka hebu elezea vizuri sababu mimi yamenikuta haya
 
Back
Top Bottom