facebook yangu niki log in inaniambia is unavailable niende facebook.com kwa maelezo zaidi,na huwa naitumia kila siku,sijajua tatizo nini na nitalitatua vipi.
umesema unaifungulia kwenye simu..je unatumia hizi applications zilizokuwa design kwa facebook au unatumia browser yako ya kwenye simu tu??...kama unatumia browser yako basi make sure unaandika Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More kwenye url yako alafu ujaribu kusign in tena....
soma vizuri hayo maelekezo nadhani itakuwa hivi 'go to facebook.com on your computer' kwa hyo unatakiwa kulog in kwenye computer then ufuate procedure watakazokupa, hii hutokana na kulog in ktk device tofaut ambayo haija be recognized au kusend friend request kwa mtu usiyemjua then akakuripoti au kusend frnd rqst nyingi kwa wakati mmoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.