Msaada: Turbo C Compiler Software (C programming)

rfjt

Senior Member
Jun 29, 2011
186
62
Habari wanajf

Katika jitihada zangu za kujifunza pragramming kwa language ya C, nimefikia hatua kutengeneza simple pragram ambayo ili niweze kuiona kazi yangu natakiwa niwe na s'w ya Turbo C. Nimeitafuta kwa torrents niliyoipata ni Turbo C++ ambayo kwangu kwa sasa ni oversize.

Naomba kwa aliyenayo au ajuae ipatikanapo anisaidie.

Natanguliza shukrani.
 
ukitoa MsVC, tafuta download ambazo ni bundled na MinGW
 
Asanteni. Kwa sasa nimedownload na kuinstall Dev-C++. Naendelea na lessons, nikipata tatizo lolote nitarudi tena.
Asanteni sana kwa kunisaidia!
 
kuna umuhimu wa kusoma vizuri nilichoandika ati!
 
Sawa. Pia pale unapoona sikuelewa vizuri unaweza ukanielewesha zaidi huku ukizingatia kuwa mimi ni beginner, hivyo reference yenye link huwa ni rahisi kwa ma-beginners. Karibu tena mkuu kama kuna kitu unaona sikuelewa vizuri.
 
jipunguzie maumivu, usitumie outdated compilers/IDE
 
Dude just as HT said avoid using outdated compilers...i'll recommend CodeBlock IDE it has so many compilers....anyway happy coding hope you'll share the simple program your making TUCHANGIE :nerd:
 
Kama kuna uwezekano mngeweka na links ili ukibofya ikufungulie page ya kudownload hizo latest compiling softwares. Hilo lingetusaidia sana sisi "ma-underground programmers" ambao tuna nia ya kweli ya kutaka kujifunza.

Software ya Dev-c++ ambayo nilidownload na kuistall, haikufanyakazi licha ya kufuata maelekezo ns miongozo yote iliyomo ndani ya software yenyewe.

Msaada zaidi wa link plz!!!!
 
fanya hivi kama nia ni kujifunza tumia c++ ya Microsoft sababu utapata na resource nyingi zaidi mtandani iwe ni kuistall au hata sample codes. n hata iwe ni integretion ya apllication mbalimbali.

Visual c++ ya micrsoft ni moja ya package kati ya pachge nyingi zinazounda kitu inachoichwa Visual Studio 2010 . Yaani ndani ya visual studio kuna

visual C++ 2010
visual C# (sharp)
visual Web develper
visual Basic 2010

na katika kujifunza unawezaa hata ukahitaji na Sql server 2008 (database). Ndani ya studio imo.

Badala ya Visual Studio 2010 unaweza kuamua kupakua visual studio 2008 . specs za mashine yako zinaweza kuwa muamuzi ni ipi inakufaaa.

pakua VS2008 hapa Visual Studio 2008 express all in ine iso chagua lugha then bofya download
pakua VS2010 hapa visual studio 2010 expres all in one iso chagua lugha tehn dowload

So nakushauri pakua na install Visual studio ni nzuri kwa benginner
 
Asante sana!!!
 
Kama kuna uwezekano mngeweka na links ili ukibofya ikufungulie page ya kudownload hizo latest compiling softwares. Hilo lingetusaidia sana sisi "ma-underground programmers" ambao tuna nia ya kweli ya kutaka kujifunza.

Software ya Dev-c++ ambayo nilidownload na kuistall, haikufanyakazi licha ya kufuata maelekezo ns miongozo yote iliyomo ndani ya software yenyewe.

Msaada zaidi wa link plz!!!!
sasa mbona unanitia shaka mapema hivi. Nilivyotaja majina nikajua inatosha wewe kuyaweka ktk kiboksi cha google.... Haya links zako hizi hapa:
http://codelite.org
http://codeblocks.org
ya MSVC ipo hapo juu na wxDevCpp ninaacha iwe assignment ya wewe kutumia google kuipata!
 
kaka kwa ufahamu wangu ni kwamba hiyo program yako inaweza kuwa compiled hata na turbo c++....mimi ninayo turbo c++ kama utahitaji niPM...
 
sasa mbona unanitia shaka mapema hivi. Nilivyotaja majina nikajua inatosha wewe kuyaweka ktk kiboksi cha google.... Haya links zako hizi hapa:
codelite Main/Home Page
Code::Blocks
ya MSVC ipo hapo juu na wxDevCpp ninaacha iwe assignment ya wewe kutumia google kuipata!
Nashukuru sana kwa kuniwekea hizo link hivyo itakukuwa rahisi hata kwa beginner wenzangu kubofya tu. Nimefanikiwa pia kupata na kudownload "assignment". Sina matatizo na google. Google, wikipedia, webopedia, howstuffswork, Youtube, etc, hawa wote ni "marafiki zangu wakubwa" Shukran kwa msaada.
 
Nawashukuruni nyote kwa kuniwezesha kunipa nyenzo za kutosha za kujifunzia na hivyo sasa narudi "darasani" kuendelea kubukua.
Mungu awabariki.
 
nimeattach file..please extract hilo folder...ukitaka kuirun ingia kwenye TC/BIN/TC(application)...runhiyo TC application kitu kitafanya kazi...hunahaja ya kuinstall..unachotakiwa ni kuweka hilo folder kwenye local disk C: basi.. nimekuwa nikitumia hii kitu kwa window7.sina uhakika kama inafanya kazi vizuri kwenye XP ila natumai itapiga mzigo..wewe jaribu tu incase unatumia XP...
Kama ikikupa shida nitafute.....
 
Attachments

  • TC.zip
    7.6 MB · Views: 35
Back
Top Bottom