Habari wakuu,
Naomba msaada wa jambo moja,nimesahau password yangu ya yahoo na kibaya zaidi ninapotaka kuwajulisha kuwa nimesahau passowrd wananiuliza secret questions ambazo nilijaza wakati...
Siioni kabisa local disk d nimejalibu kila njia imeshindikana na kwenye manage inaonekana ila in active ina option ya delete tu, msaada wataalamu:A S embarassed:
wakuu kwa wale gamers kama mimi, what do you think is the best video graphic card between the two? i tried Nvidia its quite awesome bt never had a chance to try AMD radeon. Whoever hs tried it can...
Natumia avast mara kwa mara inaniletea msg ya kuuptudate ila nikiicklick ili ianze haifanyi chochote inasema wait while initializing na hamna kinachoendelea msaada plz na nahisi hii laptop...
Habari natumia laptop aina ya Toshiba; tatizo lake ni kwamba magemu hayakubali kuplay wala DVD maker nayo inazingua kufunguka hii inakuja baada ya kuinstall windows 7 kwenye mashine yangu...
Habari wana - JF,
Kwa wale wana-IT napenda kufahamu mahali na gharama za mitihani ya (Oracle Certified Associate)OCA na (Oracle Certified Proffesional)OCP Tanzania
Pia ni mahali gani naweza...
Wakuu hebu tujuzane, hivi ile huduma ya Airtel free internet kuanzia saa tano wameitoa? Mbona mida ikifika nikijaribu kuunganisha net inakula ela? Yaani wamerudisha ile huduma ya 2500/= halafu...
Wakuu naomben msaada wenu.
Kuna LUKU 2 zinaandika low supply na zikiandika hivyo zinakata umeme kabisa na mda mwingine unaweza ukawasha na zikakubali na huku zimeandika low supply..
Je hapo...