Kuhusu nokia n96

Kuhusu nokia n96

luha

Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
20
Reaction score
1
Wakuu naomba mnielekeze how can i stream kwenye nokia n96 coz inakataa na ikikubal bac ni huon k2 mwanzo mwisho scratch msaada wenu wakuu
 
Wakuu naomba mnielekeze how can i stream kwenye nokia n96 coz inakataa na ikikubal bac ni huon k2 mwanzo mwisho scratch msaada wenu wakuu

Kwanza ujue simu yako ni nzuri na inassuport vizuri streaming.

As long as ina play lakini ina scratch ina maana setting za simu zipo ok ila tatizo lipo kwenye network unayotumia

Jaribu kuangalia kama una 3g network ili kuview video bila ku scratch, kueka 3g bonyeza menu then tools then setting then phone then network then network mode eka umts. Kutoa 3g fata same steps then eka gsm

Kama still itaendelea hivo change network provider
 
Back
Top Bottom