Error Copying File or Folder

Error Copying File or Folder

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Ninapocopy na kupaste data toka kwenye cd napata ujumbe unaosema

error copying file or folder

cannot create or replace AUDIO_TS: cannot find the specified path. Make sure you specify the correct path NIFANYAJE ILI KUFANIKISHA SEHEM HII?
 
Sometimes uwa inasababishwa na kucopy uku umeplay nyimbo usika kwenye cd unayo copy... Stop mziki ndpo ucopy file hiyo...smtm uwa ni kuchubuka sana kwa cd unayo copy... Check afu nipe feedback.
 
Kuhusu kucopy ikiwa played hapana na kuhusu kuchubuka pia hii ni cd mpya.ila bado inanisumbua.
 
Ni aghalabu kuwa na AUDIO_TS kwa cd. Hiyo ni familly ya DVD!

Hujaeleza una tumia nyenzo zipi kucopy, hata hivyo inaelekea unadrag ama ume rightclick DVD na kucopy kisha ukapaste kwenye hd yako. Mara nyingi kamtindo haka kana leta hiyo error kwa vile AUDIO_TS ni empty.

Copy VIDEO_TS pekee.

lLa sivyo tumia Cyberlink, nero ... na nyinginezo unapojaribu kwiba kazi za wasanii!
 
I am using longpath Tool.
this software can solve your issues.LONG PATH Tool works on any Windows version (NT/2000/XP/Vista/Windows 7).It can Delete system locked files
Can delete files even from mapped network folders
Can list files and paths which have file path more than 200 characters long.

You get it from LONG PATH Tool.
Reply me if it helps.Thanks.
 
Back
Top Bottom