auto update of time ya airtel vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

auto update of time ya airtel vipi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kamakabuzi, Mar 15, 2012.

 1. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tangu wiki iliyopita nakuta saa ya simu yangu inapoteza majira; inakuwa mbele kwa dakika kati ya 20 na 30. Nimerekebisha mara nyingi lakini nakuta imeshabadilika, hadi nilipoamua kuweka off ile time setting ya auto update of time and date.
  Naona kama tatizo ni airtel au kuna mwenye wazo tofauti? Kama tatizo ni airtel basi warekebishe haraka.
  Simu yangu ni Nokia 1209
   
 2. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuna rafiki yangu amenijulisha tatizo kama hilo, baada ya kuweka off, saa inaenda sawasawa.
   
 3. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mbona yangu inafanya autoupdate sahihi?
   
Loading...