msaada wa code za kuformat nokia E5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa code za kuformat nokia E5

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by manmoshi, Mar 15, 2012.

 1. m

  manmoshi Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  naomba msaada wa hizo code jaman maana simu yang ina zima nz kuwaka
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,753
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  zima simu

  bonyeza nyota (*) tatu (3) na kitufe cha kupigia simu then washa simu huku umevibonyeza
   
 3. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  chief mkwawa hii inaapply kwa nokia zote au?..mimi simu yangu haionyeshi kitu kwenye gallery...kama vipi nilikuwa nafikiria niformat ..nikiformat siitakuwa kama mwanzo au kuna system files inabidi niziweke manually???
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,753
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  Yah nokia zote zenye button, kama ni touch screen hio ni case nyengine

  Kumbuka kutoa memory card, utapoteza data zote
   
 5. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  yangu touch
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  blackberry au nokia..
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,753
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  Kama touch isiyo na button bonyeza chakupigia chakukata simu na camera button
   
 8. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  zipo touch nitofauti kidogo juc google kaka, kwani haiwaki kbsa?
   
 9. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  hiyo formula ni ya symbian S60 3rd edition tu. Kama sio 3rd edition hatafanya
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,753
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  Sio kweli kwa mkono wangu nimeformat nokia 5800 s60v5 then imekubali bila wasiwasi ni nokia yoyote bora iwe na operating system
   
 11. tumlack

  tumlack JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 681
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  simple way *#7370#
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu hii inakuwaje? Nina Nokia 2700 classic, nimejaribu nimeshindwa
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,753
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  Simu yako ni s40 jibu lilitolewa kwa s60 unatakiwa kubonyeza *#7370# kama alivoelekeza jamaa hapo juu
   
 14. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  nadhan hiyo formula inakubari kwa simu kuanzia s60 mkuu maana mimi kuna simu kibao za nokia uwa zinakataa hiyo kitu ngoja walete feed back
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu nimejaribu kubofya ikiwa on inaniandikia unknown result
   
 16. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,753
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  Jaribu *#7780# sema hio ina reset simu bila kufuta third party files (file ambazo hukuzikuta wakati unanunua simu) kama picha zako na miziki na video

  Kama utashindwa sina msaada zaidi. Ila unaweza visit hii link

  reset nokia 2700
   
 17. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  Hiyo njia haitafany kwa hizo simu, si kila symbian inakubari hiyo kitu inategemea na version mkuu.
   
Loading...