Wadau nin maana ya ku hack simu na faida zake?
Kuhack simu unamaanisha kwa nokia?
Hii ipo kwa nokia za symbian kuanzia 3rd edition, 5ed hadi nokia symbian ^3
Nokia wameeka certificate kwa ajili ya kuruhusu software na games ambazo only nokia wameruhusu ziweze kuwa installed katika simu.
Unapohack simu ina maana unatoa installserver.exe ya nokia inayopitisha certificate na kuweka yako mwenyewe ili kila application na games ambazo haziko signed na nokia certificate ziweze kuwa installed
Zipo njia nyingi za kuhack simu ila ambayo ni rahisi zaidi siku hizi ni kutumia helo0x hii ni aplication ambayo ukirun katika simu inafanya kila kitu cha kuhack yenyewe
Ila sio 100% kuhack simu sometime inaweza sababisha madhara kama haya
1) features za simu zinaweza potea mfano ukibonyeza *#06# inaweza isionyeshe imei
2) kushindwa kuinstall baadhi ya mafile kama ya java
3) process ikiishia kati kati inaweza isi install file lolote
Kwa kuongeza tu kuna kitu kinaitwa developer certificate ambayo ukiwa unaweza sign software yoyote kabla ya kuinstall na ikakubali