NENEH CHERRY anakuna nazi....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NENEH CHERRY anakuna nazi.......

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sikonge, Mar 14, 2012.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wamkumbuka huyu Bibie/mama kutokea mitaa ya Sweden aliyekuwa akitamba sana miaka ya 80 kama mwimbaji na Mfokafokaji (Rapper) huku akivaa Bling blingkubwa ya $$? Oyaaa, bado yupo ingawa pana wakati nilimuona akiimba Rock Music kwa nguvu sana na akiwa amevaa kichakalamu kama waimbaji Rock walivyo.

  Hapa anaonekana akina na kimashine ya kukuna nazi kiitwacho COCONUT GRATER. Kwa mlioko majuu nasikia unaweza kununua kwenye minada kama EBAY wana wanakuletea. Ni kidude safi sana na kinaweza kukufanya ukawa unakula msosi kama wali kwa nazi, nyaaaamm!!!!

  Angalia mwenyewe, kwanza akiwa kama mwimbaji na kibao chake maarufu...... Najua wengine watasema ule wimbo wa Seven Second alioimba na Youssour N'dour. Anyway, ule alishirikiana na mtu ila huu ni wake peke yake.
  Hapa akikuna nazi ki-ulaya ulaya, lohhh :)  NB: Tupunguze stress za leo za Mkapa vs Vinsent Nyerere.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ndio njia yako ya kupunguza stress mkuu?Nenda jukwaaa la Chit chat.
  ---Believdat---
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Inategemea na mtu Mkuu.

  Mie ni mpenzi sana wa gadgets za aina mbali mbali.

  Chit Chat, mhhh.....................
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,205
  Likes Received: 8,259
  Trophy Points: 280
  hiyo title ilivyo kaa kidogo nijichanganye.nilijua nimeingia jukwaa la Mambo ya Kikubwa.JF Bbana....
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Che Nkapa kapatikana kweli. Huwezi amini na ukali wake wote ule aliokuwa nao, kaaibika na mtoto mdogo kama VN.....

  Kweli Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
   
Loading...