Jamani wataalam(Chief Mkwawa et al), nimedownload kaspersky security ila haina option ya free trial, kwa hiyo nahitajika kununua ili nipate codes. Problem is, sina pesa, kwa hiyo naomba kusaidiwa...
Hivi ni mimi peke yangu au hawa Wazee wa 3.75G ya uwongo wameamua kukata Data Service tangu saa Mbili asubuhi leo.
Na kama ni hivyo kwa nini hawatoi taarifa?
I have developed a simple MS access program using MS Access 2007, but i have failed to create a login screen. Pse wadau help me codes for implementing this.
Wakuu wenye maujuzi ya web designing nadhani itakuwa sahihi niseka wa case hii web designingI mean CSS
nina issue kwenye hii Gym yangu ya mazoezi ya IT kwa vitendo . Baada ya muda nmefikiria...
Nadahani wengi tunafamu umuhimu wa Task Manager katika MS Windows OSs. Kwani ndio inaonesha program zinazorun kwenye kompyuta, process zote, amount ya memory, kipaumbele cha kila process n.k...
Naombeni msaada manake IDM katika computer yangu imekataa kata kata kufanya kazi baada ya kuwa ime-expire baada ya siku 30 za majaribio. Nimejaribu kufuata taratibu za kucrak lakini hakuna kitu...
NOKIA
SL3 UNLOCK LAUNCHED AT 25$. >4 WORKING HRS,REQUIRED SL3 LOGS+IMEI+MPESA @CRDB DAY EXCHANGE RATE.
CONDITION:-REMOTELY CASH FIRST
-PHONE ON HAND 6 WORKING HRS MUST BE TAKEN!
Exchange Rates...
Recently nimegundua nashindwa kufungua jamiiforums.com kwenye ip adress kadhaa, i was wondering kama kuna mirror site ya jamiiforums au kuna njia mbadala ya ku access jamii forums?
jamani wadau wa jf naomba mnitoe ushamba cku hizi nackia kuna aina nyingi za cm zikiwemo symbian,iphone,ipad na nyingine nyingi ambazo nimekuwa nikikutana na maelezo yake humu jamvini sasa shida...
Jaman naomben msaada cm yangu haiwezi kudownload baadhi ya application nikidownload inaniandikia No valid certificate nifanyeje msaada plz nina iman tatzo langu litakwisha coz hapa kuna GREAT...
Here is a free Newsletter for if you have an Androide Phone or Tablets: Find Past Issues of IT-Depot Android News here
January issue has just been released.
Nachofahamu mimi Airtel huwa inakata ku-connect ikiwa na 0.00.
-Nimedownload PD-PROXY new version
-Nikaifanyia setting zifuatazo
(a)Katika option ya server nimeset DEMO SEVER (US)...
wakuu, natumia Nokia C 3 nilikuwa nahitaji kufanya restore factory setting ili setting zianze upya sasa tatizo inaniomba SECURITY CODE msaada security code ya NOKiA huwa ni zipi coz sijawahi tumia...
Wakuu kuuliza si ujinga ? Nakubali kuonekana mjinga na mshamba kwa mda mfupi.
Swali langu ni kwamba nitaitambuaje kuwa hii ni memory card na flash original??
Nilisha wahi nunua flash na...
Salamu kwenu wakuu..naomba msaada hapa kidogo wa mawazo maana mimi nina modem ya safaricom Huawei E220 na inashida ya device kujidisconnect pale tu ninapo open browser inaniambia the device is...
Wakubwa,
Leo nimeanza safari ya miaka 2 ya kusoma Diploma ya ICT katika chuo fulani nchini Tanzania.
Kwa kuwa hii fani ni pana,ningeomba wajuzi wa hii kitu wanijuze ni mambo yapi natakiwa Niyajue...