Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu wa JF ! Plz help in activating BBM and BB ENTPRISE without having BB Plan... Just having normal internet. Is it possible ?
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Kuna Watu Jijini Dar Es Salaam wamekuwa akiwashawishi watu kuwa ile kampuni yaTalktel, kampuni ya simu ilokuwa inasubiriwa kwa hamu mara habari zake zikapotelea hewani sasa inakuja tena Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada wa nini cha kufanya nimenunua DVD Rom yenye connectors tofauti na iliyokuwepo kwenye computer, hii mpya sehemu ya kuchomeka Power cable ni ndogo sana na pia sioni sehemu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nina printer aina ya laserjet p1566 inayotumia catridge no.78a.natafuta mtaalamu anayeweza kujaza wino ( toner)..msaada tafadhali!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada,built-in-browser ya phone yangu haioperate tena na ni baada ya huhack internet ya zantel na kutumia kwa muda wa 2weeks,na nilidownload zaidi ya 1GB pamoja na browsing kwa...
0 Reactions
6 Replies
907 Views
Ndugu wanajamii naomba mnipe ushauri wenu juu ya hii blog ambayo nimeitengeneza.. Ushauri huo naomba uwe wa"technical" au unaweza ukawa ni kwa upande wa "user perspective".. Nipo tayari kupokea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi naomba msaada wa link itakayoniwezwsha kupata tutorials the tally 9, kila nikizasaka kwa net uwezo wangu unafikia ukomo ila mafanikio. NAWASILISHA.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kudelete majina yote kwa mara kwenye iphone
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninatumia king'amuzi cha ZUKU na mimi hupenda kuona LIVE hasa mpira. Nimefungua Zuku matangazo yanakuja yakiwa yamechelewa, mfano nikiweka dish(FTA) au antenna nakuta wanashangilia goli wakati ktk...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wakuu, juzi nimedownload movie ya avatar ambayo ni 3d, je naweza kuichek kwenye pc yangu nikipata 3d glasses? Je hizo 3d glasses zinapatikana madukani? na price yake inarange vp...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mwanajamvi aliweka post humu juu ya uwezekano wa kufua umeme wa bure. Post hiyo ilizua mjadala mwingi hapa jamvini. Katika pitapita zangu, nimeiona hii. Hebu tuangalie na kutafakari...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
The US Federal Bureau of Investigation (FBI) has issued another warning to computer owners to check their desktops and laptops for a piece of malware that could cause them to lose Internet access...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamii, niliwai kuskia kua zantel na TTCL wanatumia technolojia ya CDMA, swali langu ni kua je naweza kutumia line ya zantel kwenye modem ya TTCL.. Mwenye ufaham juu ya hili naomba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa wale wenye ungo ulioelekezwa intelsat906 pale zinapopatikana tvs za bongo mnaweza kufurahia epl la liga leo sebuleni kwenu mki rescan receiver zenu au kwa kuweka 4136 v 7200 kama decoder zenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua au kutumia vifaa hivyo hasa utendaji wake na bei zake. Hapa bongo wapi zapatikana? Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
samahan wana jamii ..nmepewa simu ya i phone hv juzjuz lkn sjui ka ni original au la hasha ! imeandkwa made in china... na ina apps za kutosha.. natanguliza shukran kwako.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
where can i host my website for free? thanks
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Wakuu nina E mail mbili yahoo moja nilifungua 2005 na nyingine nilifungua 2009. Mara ya mwisho nimefungua kutumia simu yangu. nilipojaribu tena kufungua kwa simu wakaniambia natakiwa kutumia desk...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hallow wana JF natumia ubuntu 10. kila nikiweka password inagoma inaniletea message hii "install problem.. the configuration default for GNME power manager have not been installed correctly...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
WanaJF, nimenunua leo simu hii kwa machinga, brand new. Tatizo hakuwa na Manual. Alikuwa na charger na earphones tu. Sijawahi kutumia smartphones before. Nimeshindwa kupata Manual yake kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom