Tuma sms bure.

Tuma sms bure.

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Tuma sms bure za ndani na zakimataifa kwa kutumia biNu, download biNu version 3.2.4 kwenye simu yako.
 
Click here to download app'
then utajirejista kwa kuweka namba yako ya cm na wataku2mia namba kama pin code
 
Ila hawa jamaa wanalimit ya msg 10 kila baada ya ck 10, vingnevyo ununue credits zao
 
Aftr ten sms, basi.ad ununue au wait 4ten days.me n2mia sana.ila sms10,shs 212na cent kadhaa.na unanunua online.
 
Nimeikubali biNu inakaribiana na snaptu .asantesana mkuu.JF ni kilakitu.
 
Kuna application niliwahi itumia nayo iko poa yakutuma sms inaitwa "Jaxtrsms" japo sina uhakika na spelling zake ila inasound hivyo iko poa sana nayo haina limitations.
 
Kuna application niliwahi itumia nayo iko poa yakutuma sms inaitwa "Jaxtrsms" japo sina uhakika na spelling zake ila inasound hivyo iko poa sana nayo haina limitations.

Jaxtrsms walishafunga offer ya bure kwa sasa hadi ununue credit zao (nakumbuka nilituma sana free txt)...or else two users ambao wote mna jaxtrsms application kwenye simu zenu then mwaweza tumiana message for free
 
Wat's up na hiyo ipi nzuri zaidi?

kwa upande wa message whatsup ni poa zaidi ...Ila tofauti za message kati yao ni kwamba kwa binu inaingia kama real sms...Wakati whatsup inaingia through application, lakini pia binu ni zaidi ya sms kuna mambo mengine mengi mengi tu wamejumuisha,kama wikipedia shortcut,google,twitter,books,NewsAnd many other stuffs within the same application...My advice kuwa na vyote coz kila kimoja kina ladha yake, Umeskia usini NYO...
 
Back
Top Bottom