Mafaili haya

Mafaili haya

digodigo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
315
Reaction score
256
Ndugu wapendwa naombeni msaada,baada ya ku'convert' mafaili yenye extension .flv na .wmv to mpg ili yaweze kuplay into my video player tatizo linakuja katika kuburn cd using either nero au realplayer inakuja message inayosema media cannot support the file na kama utalazimisha kuburn itakayoonekana kwenye cd ni picha tu but no sound. je nifanyeje wandugu?
 
Mkuu digodigo mimi sio mtaalamu wa haya mambo lakini hapa naona mambo mawili
Kwanza ni vizuri ukawa na VLC player, hii inacheza karibu aina zote za mafile ya picha na sauti kwenye PC yako
La pili AVI naiona kama ndio common format ambayo hata uki burn kwenye CD au kuweka kwenye flash basi utaweza kuplay kwenye deki/dvd player yoyote bila shida.

Jaribu kuconvert hizo video zake kwenye mfumo wa AVI then try to burn
 
Last edited by a moderator:
search online kuna free video converter kibao, unaweza ku convert toka format moja kwenda ingine fasta tu!!
 
Mkuu digodigo mimi sio mtaalamu wa haya mambo lakini hapa naona mambo mawili
Kwanza ni vizuri ukawa na VLC player, hii inacheza karibu aina zote za mafile ya picha na sauti kwenye PC yako
La pili AVI naiona kama ndio common format ambayo hata uki burn kwenye CD au kuweka kwenye flash basi utaweza kuplay kwenye deki/dvd player yoyote bila shida.

Jaribu kuconvert hizo video zake kwenye mfumo wa AVI then try to burn

kaka burn data zako ktk mfumo wa data ndo itaplay ata ucpochange 4mat
 
Last edited by a moderator:
program nzuri ya kuconrvert ni any video converter (AVC) na kama kubani tumia Ashampoo ni nzuri zaidi
lakini usipate tabu sana wewe download Vlc 2.2.2 uweze Kuplay any Video format so try out
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom