Heshima wakuu:
jamani nimeformat local Disk 😀 yangu kwa bahati mbaya, na kuna important Data
yeyote mwenye kuweza kunisaidia software inayoweza kurecover/get back data full version for NTFS please, anisaidie

ingia kwenye any torrent website alafu search "Stellar Phoenix Windows Data Recovery 4.1.0.1" utapata results nyingi..chagua ambayo iko na keys au patcher kabisa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.