Msaada HTC chacha A810e simu imezima baada kudownload software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada HTC chacha A810e simu imezima baada kudownload software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Micro E coli, Apr 30, 2012.

 1. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Msaada wakuu nina HTC chacha A810e imezimika baada ya kudownload new version ya facebook ya android nimejaribu kutoa bettery nakurudisha imegoma kabisa lakini taa ya charge inawaka nikichomeka kwenye charge mwenye utaalamu ya haya mambo anisaidia kwa mawazo au mahali ambapo naweza kupata msaada wa kuirejesha simu hii on amasijui ndio imekorapte au ndio imeungua sijui mwenye ujuzi anijuze au anielekeze mahali ambapo nitapata msaada hapa Dar.
   
 2. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,601
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  pelekea wataalam waiflush!
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,978
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Download flasher then uiflash tena kama auwezi mtafute Fundi Nahim pale nyuma ya food world Posta mpya
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Izime af hold volume up, call and ON buttons then select wipe/clear all data then reboot. tatizo kushneyyyyyhyy
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kutafuta fundi soma au pakua manual yake na ujaribu kufanya Soft na hard reset .

  Unaweza cheki hapa  NB

  kama ina SD memory card itoe weka pembeni kabla ya reset.Maana reset ni restoring to how it was from Manufacturer.So inaweza futa kila kitu kwenye memory na apps nyingine ulizoongeza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wakuu nashukuru sana kwa msaada wenu ngoja niyafanyie kazi mawazo yenu nashukuru.
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  HTC ikiisha charge kabisa!!... haiwaki hadi ifike kiasi fulani..! utaina inawaka taa nyekundu uki charge subiri hadi ifike orange nadhani.. au iweke kwenye charge for 20 min then washa tena
   
Loading...