Msaada wa Blackberry 9630

Msaada wa Blackberry 9630

Z kama Z

Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
60
Reaction score
10
Hi Wakuu nimenunua black berry 9630 ila kuna tatizo moja nikiweka namba zile za kuiricharge yenyewe inapiga mpaka dakika hii sijaweka vocha tangia ninunue yaaani ni mballaa kwa anyefahamu anisaidie
 
inanembo ya kampuni gani sprint au? for time been ingiza vocha kwa kupiga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom