Computer inapoteza kumbukumbu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Computer inapoteza kumbukumbu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by deecharity, Apr 29, 2012.

 1. d

  deecharity JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wakubwa, laptop yangu inapoteza kumbukumbu kwenye upande wa saa na calender na kila nikirekebisha inajirudia tatizo linaweza kuwa nini?
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  cmos battery...
   
 3. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hata haizidi buku 5.
   
 4. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,749
  Likes Received: 8,009
  Trophy Points: 280
  Japo hujaeleza inapotezaje majira na calender lakini kuna mambo mawili ya kuyakagua.

  1. C MOS Battery - pengine imekwisha inahitaji kubadilishwa au
  2. Kwenye Time and Date Properties umeitune kwamba ijirekebishe saa kufuatana na Internet time za sehemu fulani kwa hiyo kila unapoconnect internet, inarekebisha saa zako ziendane na sehemu uliyoset. Angalia hiyo dialogue box hapo chini

  View attachment untitled.bmp
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hebu right click hapo kwenye saa..kisha click adjust Date &Time

  angalia hapo kwenye time zone umeset mji gani? inatakiwa kuwa Nairobi au mji mwingine wowote ambao majira yake ni (GMT +03:00)

  Kama ipo sawa....basi huenda CMOS battery imeisha nguvu ni ya kubadilisha!!
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  hata usiangaike sana mkuu...hiyo ni cmos battery tu!!
   
 7. d

  deecharity JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  asanten wakubwa nimeanza nakubadlisha time format ndio naickilzia kama ikifail ntachange cmos btry.
   
 8. g

  guta Senior Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Inaweza kuwa ni cmos, kama ukibadilisha tarehe inajibadili kabla hujaizima basi hiyo ni virus.
   
Loading...