Nimejaribu mkuu kuidownload lakini ninavyotaka kuirun inaniletea message hii
unsupported OS information
version: window 7 ultimate
Build:7601.win7sp1_gdr.111025-1...
Bios😀ELL-(09/13/10)
Hivyo sijafanikiwa
Na ipi ni poa zaidi kati ya window 7 professional na hii ultimate
Utakuwa umenisaidia sana mkuu coz inanisumbua sana.
Na ipi ni poa zaidi kati ya window 7 professional na hii ultimate
Asante sana mkuu nimefanikiwa 100% MUNGU akubariki sana. Je ninaweza kuitumia tena kama sijaconnect na internet hii niliyo download
Wakuu kuna jamaa yangu nae amekumbwa na genuine but yeye anatumia xp sp3, Je naweza kutumia removeWAT niliyotumia mimi? Naomba kuwasilisha
Na sidhani kama itasaidia anyway kuna njia ya kuactivate iwe genuine bila kuremove wat mwambia acheki hii video tutorial nilioupload youtube ya kuactivate xp na kuwa genuine 100%:
http://www.youtube.com/watch?v=z5ojqBRUHT8
click apo kwenye Show more kwa maelezo zaidi na key yenyewe ya kuactivate