Wadau ni duka gani kwa DSM naweza kupata plasma ama smart TV za kuanzia 40 to 55 inches (Samsung, LG ama Sony), nipo nje ya nchi wataalam wa Dar naomba msaada ili nisihangaike kununua huku kama...
Game kuna jamaa ameinstall vizuri sana,tatizo nikiifungua Game yenyewe harafu nikaclick PLAY inagoma yenyewe inadai "wrong disc inserted. Please insert the original Pro Evolution Soccer 2012"...
Adobe has announced the immediate availability of Creative Suite 6 software, which includes the new releases of Photoshop, InDesign, lllustrator, Dreamweaver, Adobe Premiere Pro, After Effects...
AVG offers a Do Not Track feature that lets you articulate your decision not to be tracked by some websites, applications and advertising networks.
AVG Do Not Track helps you identify websites...
Wakuu tatizo langu ni Blackberry Playbook yangu haingii charge kabisa. Mimi huwa natumia charger ya smart phone ya Blackberry, na pia nimejaribu kucharge kupitia computer (usb) pia sikufanikiwa...
wakuu mashine yangu gateway M-6843 NIMEISTAL webcam usb driver 2.0 but amna kamera on screen nilistaal YOUCAM 5 ikaisha baada ya siku 15 yaani kuexpire sasa napata shida jinsi ya kutumia webcam...
guys kama mjuavyo voda wameachia ki2
kwa watumiaji wa nokia s60 3rd ambao wamezihack simu zao kuna operamin7.sis nimeiingizia hyo server ya bure ndani ili itumike bure..
cha kufanya...
Wakuu habari za jioni.Naombeni kufahamishwa brand gani ya external disk ni durable zaidi, na inapatikana around sh ngapi.
I once had a terabyte of Western Digital, lakini nadhani ikapata...
Natumia Samsung galaxy mini. Tatizo ni kuwa, kuna baadhi ya pro softwares ambazo nimezidownload for free from other sites like pirate bay na black Mart zinakuwa blocked na Google play, saa au siku...
Poleni na majukumu wana JF
Naombeni msaada web site gani nzuri na yenye mafanikio ambayo unaweza ukaandika propasal tofauti tofauti kama business loans nk na ukafanikiwa iwe ni web site ya nje au...
habari zenu wanajf,
Naomba kujua ni software gani na nitaipataje ikiwa ni full version inayoweza kurecord skype conversation. Ningependa hiyo software iwe inauwezo wa kurun in the background...
Kwa wale mnaopenda watoto wa geti kali, wake za watu ama waume za watu, ama kutoa ujumbe wowote ambao hutaki kuwa shahidi katika sms ulotuma. Just go to messaging(click) and go to flash sms, write...
wenye huu ujuzi wananipatie
mimi niona kama tv turner inarekodi hii kitu katika mfumo wa nalogia hvyo picha zinakuwa na chenga chenga sana tofauti na inavyoonesha
je kuna njia mbadala
nitashukuru
naomba nielekezwe tatzo nini katka cm yangu inafail kufungua facebook. natumia mchna nokia n70. net kanafungua tena kwa kas saf, nik fungua najaza e-mail na p-word then nik log in cm inazma au...