iPhone 4 inahitajika

iPhone 4 inahitajika

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
239
Reaction score
47
Wadau habari za majukuku? ndg yenu nina laki saba hapa baada ya kujipinda na kujitutumua hatimaye nataka nimiliki simu ya iphone 4,sasa kwa ambae anaweza kuwa interested na proposal yangu anaweza kurelpy uzi huu ili tuone kama tunaweza kuongea
 
Umepata mkuu, ila ongeza laki moja nikuletee leoleo, nimeitumia mwezi mmoja tu.
 
Wadau habari za majukuku? ndg yenu nina laki saba hapa baada ya kujipinda na kujitutumua hatimaye nataka nimiliki simu ya iphone 4,sasa kwa ambae anaweza kuwa interested na proposal yangu anaweza kurelpy uzi huu ili tuone kama tunaweza kuongea

unataka mpya kabsa au used.
 
Naweza kukuletea nikija Tanzania muda si mrefu,ina full applications pamoja na guarantee. Nicheck bro tuongee
 
iOS is not the best , Android would be better and Windows Phone 7 would be the best! Ni bora uchukue galaxy s II au nokia lumia
 
Wadau habari za majukuku? ndg yenu nina laki saba hapa baada ya kujipinda na kujitutumua hatimaye nataka nimiliki simu ya iphone 4,sasa kwa ambae anaweza kuwa interested na proposal yangu anaweza kurelpy uzi huu ili tuone kama tunaweza kuongea
ninazo iphone 4s. ni pm nikupe maelekezo
 
iOS is not the best , Android would be better and Windows Phone 7 would be the best! Ni bora uchukue galaxy s II au nokia lumia

javascrip price zake zinacheza kuanzia ngapi kibongo bongo mf lumia 900..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom