nini kimetokea kwenywe torrent websites

nini kimetokea kwenywe torrent websites

Skillseeker

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
225
Reaction score
34
habari zenu, naomba kujua nini kimetokea kwenye torrent website..hazifunguki..hii ni wiki ya pili sasa...
 
Kuna baadhi ya sites zimefungwa kutokana na issue ya piracy kama megaupload.com. Baadhi zinafanya kazi kama kawaida mfani thepiratebay.se, na nyingine zimepunguza sharing access.
 
Back
Top Bottom