ku-format mashine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ku-format mashine

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kholo, May 18, 2012.

 1. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  habari zenu ndugu zangu wanajamvi, naomba kufahamu madhara yanayo sababishwa na ku-format mashine mara kwa mara. Natanguliza shukrani
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwa kifupi unapo format mashine ndio unapunguza uhai wa hard disk unapo format sana mara kwa mara hard disk inasababisha mashine kuwa slow kila hard disk inapochoka na mashine inazidi kuwa slow ndio unapo ona ukiwasha mashine hard disk inakoroma na inachukuwa muda mrefu kuwaka na kufungua page sio vizuri ku format mara kwa mara ni bora ku delete partition mara kwa mara kuliko kuformat partition mara kwa mara
   
 3. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ahsante! Nahitaji kuinstall window nyingine. Je, naweza kuinstall bila kuformat mashine?
   
 4. r

  roseric Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  hard disk inakufa na kupungua space
   
 5. J

  JOSEPH JOEL Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  processor inachoka 2 fast na kusababisha connecton wire kati yake na hard disc kuwa inagain heat kwa haraka xo hard disc inaweza kupungua byte zake, itakua slow sana na kibaya zaidi wakat unaiwasha inaunguluma sana na it takes long time 2 display bcz processor imechoka, sio vizuri kuformat window mara kwa mara.
  cku nyingine nitakupa elimu how connection ya processor na hard disk vinavyoleta matatizo thru kufomart, i hop umenielewa!
   
 6. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  km nikidelete partition data naweza kuokoa data au nazo zinaweza futika
   
 7. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ukiwa unahitaji ku install window nyengine unaweza uka install kwa ku delete partition tu kwani unapo delete partion C: all data in C: drive will be deleted kwahiyo hakuna kitakacho baki humo ndani na dio mana ukitaka ku delete inakupa warning kwamba all data in drive C: will be deleted ndio mana baada ya ku delete kama drive C: ina space ya 100 GB itakuonyesha kama free space ni 100GB na used space 0GB kwahiyo we unaendelea na next tu ili uweze kuweka windows nyengine chakuzingatia ni kwamba maranyingi fist time unapoweka windows yako make partion drive C: and drive D: na na unatakiwa uziformat zote hasa Drive D: mana usipo iformat haita onekana ktk mashine yako mana window haita itambua na baada ya hapo unapotumia computer yako hakikisha file zako zote unazihifadhi ktk drive D: mana hujui ni lini windows inaweza ika corapt ikakupa tabu ya kuanza kufikiria data zako lakini ukiwa data zako unahifadhi ktk drive D: inakupa wepesi kubadilisha windows kwa ku delete partion ya drive C: tu bila ya kugusa drive D: na unapo delete Drive C: drive D hai athiriki na chochote mpaka utakapo ifata na kui delete baada ya kudelete C: data zote kwenye C: zitakuwa Deleted kwahiyo we unaendelea kuweka windows nyengine tu kwenye C: drive na files zako zitakuwa salama kwenye D: drive kwa njia hiyo hard disk yako haita choka haraka na hutapata usumbufu wowote windows itakapokua imeleta matatizo
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama uki delete partion data zote zitakua zimepotea kama una data ktk C: drive bora ku repair windows ili kuokoa data zako ikiwa inakusumbua ku repair chomoa hard disk yako weka ktk external hard disk chomeka ktk computer nyengine utaweza kuzitoa data zako kwa usalama na utaweza ku delete partion na kuweka windows nyengine
   
 9. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Dah! Ahsante sana kwa darasa zur, Mungu akubariki sana
   
 10. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ahsante sana mkuu kwa class na usiache kunipa hiyo ilim
   
Loading...