Usigeuze Simu Unapoongea,ni Hatari!

Usigeuze Simu Unapoongea,ni Hatari!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,106
Reaction score
34,926
Kumekuwa na tabia ya watu wanapo pokea simu huigeuza na kusikilizia nyuma hii ni hatari.
Mionzi ya mawimbi ya umeme ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu hupokelewa au huingilia kupitia upande wa

nyuma,hivyo ni hatari sana kwani unaposikilizia nyuma husababisha mionzi kupenya moja kwa moja sikioni nakwenda kuathiri ubongo.



Madhara sio rahisi kuyaona haraka kwani huchukua muda mrefu,hivyo kumbuka kutumia simu kwa matumizi yake pia kumbuka kuiweka

simu kwa kutanguliza kioo au upande wambele unapoweka mfukoni ili ile mionzi isije kuathiri mwili kwani kama utaigeuza mionzi itakuja na kugonga upande stahili ambao ni nyuma ya simu.
 
yaani kaka mkubwa mm nashangaa hawa Sijui TCRA mm sijui nini kazi yao yaani watanzania wengi wanapata madhara kwa kutokujua na hii ni kazi ya TCRA kuhusu mionzi hii hatari wanatakiwa wawatangazie watu maana watu hawajui kama antena inakaa nyuma ya simu so huu ni uzembe.... Mimi huwa nikikuta mtu anageuza simu namuelimisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom