Mambo vipi wana JF?
Kwa sasa kuna trending ya kuongeza followers hasa Instagram,
1. Hawa followers ni kama ulikuwa nao 100 unaweza kulipa mtu na unapata 10k followers,
Kumbuka hapa sio zile app...
Android ni moja wapo wa Os wenye nguvu sana ulimwenguni kutokana jinsi walivyoweza kufanya simu ionekane nyepesi kutumika na Kila moja wetu.
Turudi kwenye uzi wetu [emoji16] unajua apple wameiga...
Unaijua contact poster
Apple kwenye series mpya ya iOS ya 17 wameleta feature mpya inaitwa Contact poster uwezo wa kuweka picha za watu kwenye namba zao za simu.
Contact poster inakupa uwezo...
Wakuu kwema,
Niende kwenye mada. Ni usiku mnene nikiwa sina hata lepe la usingizi nikiwa natafakari mambo mawili matatu tunayopitia wana wa Adam.
Sasa kama binadamu na mmiliki wa Dunia kijiji...
Naweza kufanyaje hapa kurudisha namba yangu kwenye mfumo?
Nimepoteza groups,na kumbukumbu nyingi tu, kubwa zaidi namba hiyo ndo namba yenye mambo mengi Sana ya muhimu.
Wadau, kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call...
Ulivyokuwa na Miaka 14 ulikuwa wapi? Mjue Kairan Quazi, Mfanyakazi wa Elon mwenye Umri mdogo
zaidi
Genius huyu ameteka vichwa vingi vya Habari baada ya kupost kwenye ukurasa wake wa Linkedin kuwa...
๐จ๐ป๐ฎ๐ถ๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ๐น๐ฎ๐ ๐ ๐ค๐๐ถ๐ฐ๐ธ ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฒ ??
Kuhamisha kitu toka kwenye simu yako ya Samsung kwenda kwenye kifaa chingine ambacho ni Simu au kompyuta unajua ni rahisi sana ? Najua ulikua hujui.
Watumiaji wa...
Wakuu kwema?
Naomba msaada wa excell.
Naandaa template ya matokeo kwa shule za MSINGI.
Sheet 1 nimeweka kwaajili ya kujaza alama.
Sheet 2 nimeweka sehemu ya matokeo,yaan madaraja ya kila...
Nyota ya Mtanzania, Gibson Kawago imeendelea kungโara baada ya kutajwa katika kinyangโanyiro cha kuwania tuzo ya ubunifu katika uhandisi Afrika inayoratibiwa na Chuo cha Uhandisi cha Uingereza -...
Wakuu habari, nahitaji kununua TV kwa ajili ya biashara ya kuonyesha mpira Sasa wakuu nauliza TV gani imara na nafuu kwa ajili ya biashara ya mpira banda la kuoneshea mpira.
Sent from my Infinix...
Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka...
๐๐ฎ๐บ๐ฝ๐๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ฒ๐๐ฎ inasema muda sio mrefu itaachia feature mpya kwenye Whatsapp ambayo inaitwa Channel, hii ni kama vile broadcast channel kwenye Instagram.
Whatsapp Channel ni feature mpya yenye...
Nataka kununua Simu ndogo Simple, Nimeitumia Hii 3310 New Model nakuikubali sana tangu 2017, sasa naona muda imechakaa nataka simple nyingne Feture Phone. Je kuna toleo jengne kali kupta hii au...